Makanisa yenyewe mkigombana kuhusu sadaka mnatawanyika wala siyo jambo la kushaangaa hilo wachungaji wanakazana kukemea mapepo ila vibinti vimekaa mbele sket zimeishia kwenye magoti anavyoviona hadi anaamua kufumba macho
Kuhusu suala la kufa wa Zbz wengi siyo swala la Brig moja bali hiyo mara nyingi huwa hutokea tu watu kama mmetokea eneo moja kupiga story moja na mbili kama wanyumbani na huwa haiathiri sana utendaji wa kazi hasa katika majukumu pia angalia wametoka vikosi tofauti hvyo kwa mwanzo mtu anatafuta...
Wataje ukifikisha 10 waliopigwa risasi na kuuwawa na waliojeruhiwa na waliopotea ukijumlisha na waliotekwa awamu hii nakupa Jero ya vocha usitukane we shusha tu majina alafu reply me ntajua kweli upo serious acheni mambo ya kihuni fanyeni maisha mambo tafuteni maisha acheni siasa za vijiweni
Hakuna nchi inayoitwa israel soma vitabu ndgu hao wote ni binadamu hata hao wayahudi wenyewe hawaamini kile unachokiamini wewe jerusalem ni mji mtakatifu ndio ila itumike busara kulijenga taifa la Mungu hiyo nchi ilipaswa iitwe hata jerusalem yenyewe na sio Israel ambaye ni jina la mtu tena...
Ndio maana zinaitwa nguo za ndani maana yake siri sasa unapozianika nje ili watu wajue rangi za nguo zako ili weje mfano wengine wanawake michupi mikubwa kama ile ya ndondo cup unaanzaje kuianika nje tafuta sehemu nzuri ndani anika nguo zako unazifua cku moja zikikauka piga pasi weka kwenye kabati
Hzo nikweli ni expansion joints kwa maengineer waliosomea wanajua jengo lolote lenye urefu kuanzia 15/25m na kuendelea huwa inawekwa hiyo inasaidia nyumba iweze kupumua kipindi cha joto na baridi ila huwa kuna material fulani yanawekwa kuficha huo ufa tena ufa huo huzibwa kwa plastic material...
"Wanaume ishini na wake zenu kwa akili"mpaka hapo ushafeli labda nikupe mbinu mshawishi mke wako mfungue biashara na natumaini atakulewa kama ulimpiga sound akaingia kingi natumaini hili haliwezi kukushinda labda kama ulitafutiwa na baada ya kufanya biashara mshirikishe japo najua hatakuwa na...
Nakushauri usijifunzie pombe ukubwani utaharibikiwa maisha yako yote pombe ni rafiki wa kweli japo ukimzidisha anakudhalilisha ni rafiki anayependa ustaarabu sana maana huwa hakusumbui yeye urafiki wake pesa huna hela haumpati na siyo mnafiki yeye popote mtakaa na kuenjoy maisha hachagui sehemu...
Hao wa kuumia roho waache tafuta super women amabaye anauwezo wa kusimama na kukushauri maswala ya maendeleo utafute pesa hao mbona tutakutana mbeleni unawala bure tu bila hela tena unakula chipukizi si hela unayo
Yaani kijana kuoa 32-40 umeshachelewa sana yaani muda wenzio wanatafuta pesa wewe bado unaishi nyumba ya kupanga au nyumba ya ofisi alafu ndio kwanza unalea na haujaanza kusomesha dah pole sana vijana angalau 25-35 umeshamaliza kuzaa unasomesha na kutafuta pesa,kujenga miradi na kulea familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.