Recent content by Prezdah

  1. P

    Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Kuwepo kwa Mapacha la pili ni kuwepo kwa dini za kishetani yaan Illuminat na Freemasonry la tatu ni utabiri wa manabii katika Biblia
  2. P

    Kumekucha Korea, nyambizi kubwa ya mmarekani yawasili

    Msimu atajua tu kuwa kwake ni USA River arusha sio US
  3. P

    Napenda kuoa ila sipendi kufanya sherehe

    Unagharamia sherehe million 10 ndoani unatembea kwa miguu
  4. P

    Ifike mahala tumpe heshima yake uyu kiumbe,(Messi)

    Kwanza soka analocheza Messi linaelimisha jamii [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] CR7
  5. P

    Ifike mahala tumpe heshima yake uyu kiumbe,(Messi)

    Kumbe mi nauliza jambo dogo kwani tumeuliza kati ya Argentina na nini au tunamuongelea messi ni bora?? Ni mchezaji gani mwenye tuzo nyingi za balon d or? Ni mchezaji gani ni nominator Mara 9 mfululizo duniani??? Tangu awe captain Argentina haitoki 2bora duniani ni yeye pekee mwenye heartrick...
  6. P

    Ifike mahala tumpe heshima yake uyu kiumbe,(Messi)

    Naunga mkono hoja
  7. P

    Je, North Korea ina uwezo wa kumnyamazisha mmarekani

    Kwenye kupigwa marekani sitaki amani acha iwe vita tu ila apigwe tu tena bila huruma
  8. P

    Maneno ya Nape kuhusu uvamizi wa CUF Jana

    Ukweli kabisa kuna dalili za hali ya hatari 2020
  9. P

    KOREA WAKIPIGA SATELITE ITAKUWAJE

    Kwani satellite inamilikiwa na nani???
  10. P

    Ngoma bado mbichi: Meli za kivita US Zageuza tena Kurudi kuelekea North Korea

    Mungu saidia hizi habari ziwe za kweli. Halafu kinuke kabla ya jumapili ili j3 atangazwe mshindi
  11. P

    Ushauri: Kuna mwanamke ananipenda lakini mimi naishiwa hamu kwa kuwa ananuka mdomo

    Tuko wengi wa hivo mkuu. Ilinitokea nikija mbulu February mwaka huu yaan nilimkataa sababu hyo ila demu alinitaka sana
  12. P

    TFF inapwaya na MANARA apaswa kuchukuliwa hatua!

    Kagera apewe jasho lake simba wa maonyesho abaki na povu lake
  13. P

    Team USA Hatushindwi - Njoni tuyajenge

    Pamoja sana yaani urusi hataki kuwaachia Syria mitambo ya kuzuia mashambulizi kwa sababu ni waarabu. Waarabu hawanaga siri ndio maana anawalinda akiwa kwake. Nilikuwa naelezea udhaifu wa waarabu tu. Sasa marekani kwa Kim amepatikana yaani atapigwa mubashara
Back
Top Bottom