mwenyeKitu
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 946
- 771
Nimewaza nikaona hii vita sio nzuri. ..mfano vita hii ikiwa cyber war na Korea wakapiga satelites zote
Its almost impossible because lot of country zinadepend on US satellites.. if NK touch it.. itakuwa ime declare war.. not only with us but na washirika wakeNimewaza nikaona hii vita sio nzuri. ..mfano vita hii ikiwa cyber war na Korea wakapiga satelites zote
Satellite gani? Zipo satelites zaidi ya elfu mbili kwenye space.Nawaza nnje ya box maana wengi wanafikiri vita ni kupiga miji tu. ..what if they attack satellites. .
Yep. Halafu unachanganya mambo. Cyber war ni vita vya computers/information systems hasa kwa kutumia internet.So 2000 in cyber war unaona ni nyingi
Kwani satellite inamilikiwa na nani???
Nchi kubwa nyingi zinamiliki satelite,kila nchi ina idadi ya satelite kutokana na uwezo wake.Kama sijakosea Marekani ndio nchi yenye satelite nyingi zaidi zinafikia 24,China ina 17 inategemea kufikisha idadi ya 24 ifikapo mwishoni mwaka huu n.k.Kwani satellite inamilikiwa na nani???