pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,087
Be careful watch it! sawa mna uwezo wa kumchapa mkorea but not to that extend kiduku sio wa kumchukulia poa hata kidogo Mungu tusaidie giant national anaweza kulia





Still tuna watu wa aina hii hapa duniani kumbe?Huyo dogo atatiwa "dole" live na yale makomandoo ya kimarekani. Na alivyonona, ha ha ha! Jamaa lazima wamchungulie. Unajua, haya matoto babu alikuwa mtawala, akarithi baba, baadaye akarithi yeye ni tatizo. Hawajui shida ni kitu gani; unapozungumzia kukesha porini miezi huwa hawaelewi. Huyo "mbwa" kiduku lazima afanyiwe kweli. Wananchi wa NK wanaishi katika mateso ya ajabu kuwahi kutokea simply mjinga mmoja kawageuza mamilioni ndondocha! Korea lazima iwe kama Germany. Mungu ibariki Israel, Mungu ibariki US.
Pamoja sana yaani urusi hataki kuwaachia Syria mitambo ya kuzuia mashambulizi kwa sababu ni waarabu. Waarabu hawanaga siri ndio maana anawalinda akiwa kwake.Mie team NK hao uliowataja woote waarab na Mzee wa kiduku sio mwarab so watch it