Ifike mahala tumpe heshima yake uyu kiumbe,(Messi)

f94b6d5779cd0584f203400e47276b92.jpg
Mungu ampe neema Messi awape Argentina kombe la Dunia. Ushindi wa kombe la Eoru 2016 ulimwinua kidogo Ronaldo juu ya Messi. Lakini mi kweli Messi ni bora pia.
 
Ni vizuri tukapima mafanikio ya mchezaji ngazi ya club,timu ya taifa na makombe mbalimbali...mess ndiyo mchezaji mzuri saana ila akiwa Barcelona tu...teh teh
Kumbe mi nauliza jambo dogo kwani tumeuliza kati ya Argentina na nini au tunamuongelea messi ni bora?? Ni mchezaji gani mwenye tuzo nyingi za balon d or? Ni mchezaji gani ni nominator Mara 9 mfululizo duniani??? Tangu awe captain Argentina haitoki 2bora duniani ni yeye pekee mwenye heartrick elclasco. Ukipinga ulete anayemzidi. Kuhusu mafanikio unayoyasema Iniesta hana mfano hapa duniani ila kwa ubora messi ni zaidi ya ubora
 
Argentina kaisaidia nini mpaka sasa anataka kustaafu (japo alistaafu kwa aibu baadae akarudi) timu yake juzi imeondolewa EUFA amesaidia nini. Na kumbuka timu yake iliwahi kuchapwa mbwende mbwende na Bayern magoli sita ambayo mwenzake Ronaldo kaipiga magoli ya kutosha hiyo hiyo Bayern na kuifanya timu yake iingie quarter final. Yeye kama Messi kaipeleka wapi Barca. Mwenzake ni mtetezi wa kombe ilo na uwezekano wa kulichukua tena upo hapo hapo akisubiri kuchukua ubingwa wa club yake kwenye La Liga. Kumbuka ni nchi yake Ureno ni Bingwa wa Ulaya. Lakini Barca Copa America amejaribu na kuishia kutishia kujiudhuru. Tunapobishana wakati mwingine tuangalie mafanikio ya mtu kwa nchi yake na club yake siyo individual success.
 
ungese kabisa yan bado kuna watu wazima na akili Zao timamu bado wanataka kumlinganisha messi na vitu vingine vya ajabu ajabu kwene hii sayari
 
Argentina kaisaidia nini mpaka sasa anataka kustaafu (japo alistaafu kwa aibu baadae akarudi) timu yake juzi imeondolewa EUFA amesaidia nini. Na kumbuka timu yake iliwahi kuchapwa mbwende mbwende na Bayern magoli sita ambayo mwenzake Ronaldo kaipiga magoli ya kutosha hiyo hiyo Bayern na kuifanya timu yake iingie quarter final. Yeye kama Messi kaipeleka wapi Barca. Mwenzake ni mtetezi wa kombe ilo na uwezekano wa kulichukua tena upo hapo hapo akisubiri kuchukua ubingwa wa club yake kwenye La Liga. Kumbuka ni nchi yake Ureno ni Bingwa wa Ulaya. Lakini Barca Copa America amejaribu na kuishia kutishia kujiudhuru. Tunapobishana wakati mwingine tuangalie mafanikio ya mtu kwa nchi yake na club yake siyo individual success.
Unaweweseka sana na Ronaldo wako. Yule hamna kitu,kamwe hawez kumfikia Messi,yeah ni kweli ni mchezaji mkubwa kama walivyo akina Gareth Bale,Neymar na wengine wakubwa lakini hana uwezo wa kumfikia Messi,dunia nzima inajua hilo!
 
Subiri mwaka huu uone kama hiyo Balon D'or jina lake litaonekana. Jamaa Ronaldo anachukua tena. Sijui utajisikiaje na huyo Messi wenu. Basi kama mwanaume akachukue kombe la La Liga mwaka huu
 
Kusema kweli Messi ni mchezaji bora kabisa duniani. Binafsi naona Messi ni bora sana kwa sababu.
>Ana ball controll na dribbling ability kubwa sana.
Anauwezo wa kukokota mpira muda mrefu na kupiga chenga kutoka mbali sana na kwa muda mrefu bila kuchoka wala mpira kumtoka mguuni. In general dunian hakuna mchezaji ambaye ni ngumu sana kumkaba km Messi. Hilo wengi wanalifahamu na jana amedhihirisha. Messi ana uwezo wa kuuchezea mpira anavyotaka na akaufanya chochote.
>Messi ana uwezo wa kubadilisha hali ya mchezo iwapo timu yake imezidiwa. Ana uwezo wa kufunga yeye mwenyewe iwapo timu yake imeelemewa pia ana uwezo wa kuichezesha timu. Hilo linawezekana kwa sababu Messi ana uwezo wa kucheza km kiungo mchezeshaji, mshambuliaji na kadhalika. HAHAHAAAA Messi ana uwezo wa kucheza namba zote pale mbele yaani namba 9, 10, 11 na 7.
>messi anacheza soka ambalo linafurahisha na kuburudisha sana kwa mtazamaji. Anafanya mambo ambayo ni full maajabu na mbwembwe kubwa. Messi ana natural talent so kila kitu kinafanywa ki autimatic.

Hata Pele ameshawah kusema " watu wengi wanadai mm ni mfalme wa soka, pia wanadai mm nina uwezo mkubwa. Ni kwel kabisa mm ni bora zaidi na hakuna mtu mwingine yeyote anayenifikia. Lakini nikimwangalia huyu messi anavyocheza mpira nimeamini ni ukwel anafanana na mm na pia ni ukweli tuna uwezo sawa"
Maneno marefuuu . hivi unataka vikilombe au mchezaji bora?
 
Hapo umesema kweli mkuu wisewriter. Ronaldo akiwa ameiwakilisha nchi yake kwenye Kombe la EUFA na nchi yake kuwa bingwa, akiwa pia mchezaji wa klabu ya RMA inayotetea kombe ili na uwezekeno ni mkubwa RMA kulichukua tena upo uku akiwa anasubiri kutawazwa bingwa wa Spain La Liga. Lakini Messi hajawai kuipatia nchi yake kombe lolote zaidi ya klabu yake ya Barca. Hii inampunguzia uzito na nadhani inamwuma sana moyoni akiona mpinzani wake anashinda makombe
Hapo ni kuchanganya habari kwa kujitoa ufahamu au kwa makusudi. Kamwe huwezi kusema kwa mfano Karim Benzema ni mbovu kuliko kwa mfano Rooney kisa mmoja timu yake ilichukua kikombe A pekee. Hiyo haiwez kuwa ni key indicator ya mtu kuwa bora. Kwamba kwa ubora wa Gareth Bale hata kama hajashinda chochote,ni bora kuliko Marcelo nk nk nk. Vigezo vyenu hivyo ni vya kusadikika,anae jua anajua tu hata uwe na mtimanyongo haisaidii chochote. Messi ni bora kuliko Ronaldo katika aspects nyingi uwanjani ingawa Ronaldo alichukua kombe la nchi yake akiwa nje mwaka jana!
 
Mkuu hapo umemaliza kila kitu,hizo ndizo sifa za mchezaji anaejua mpira kama talent yake. Kigezo cha CR7 eti kuwa bora kwa kigezo cha yeye mwaka jana tena akiwa nje ya dimba eti ndiyo ubora kama mdau mmoja alivyodai ameniacha hoi kabisa. Factors ulizotaja ndizo hasa zinazompa sifa ubora wa mchezo yeye individually!
 
Siyo kujitoa ufahamu. Kama huwezi kuona facts hizo basi umejitoa ufahamu. Unaangalia juhudi za mtu binafsi kufanikisha timu yake ifikie lengo. Ronaldo ameweza ila Messi hajaweza ilo. Unless unajitoa ufahamu kama ulivyotumia neno ili husione hayo mafanikio
 
Ni vizuri tukapima mafanikio ya mchezaji ngazi ya club,timu ya taifa na makombe mbalimbali...mess ndiyo mchezaji mzuri saana ila akiwa Barcelona tu...teh teh
Hapa umeambiwa ujadili mafanikio ya mchezaji? Ndo sababu mnafeli masomo yenu!
 
Mkuu hapo umemaliza kila kitu,hizo ndizo sifa za mchezaji anaejua mpira kama talent yake. Kigezo cha CR7 eti kuwa bora kwa kigezo cha yeye mwaka jana tena akiwa nje ya dimba eti ndiyo ubora kama mdau mmoja alivyodai ameniacha hoi kabisa. Factors ulizotaja ndizo hasa zinazompa sifa ubora wa mchezo yeye individually!
Unaangaika kweli na Messi wako mpaka unajitoa ufahamu
 
Hapo umesema kweli mkuu wisewriter. Ronaldo akiwa ameiwakilisha nchi yake kwenye Kombe la EUFA na nchi yake kuwa bingwa, akiwa pia mchezaji wa klabu ya RMA inayotetea kombe ili na uwezekeno ni mkubwa RMA kulichukua tena upo uku akiwa anasubiri kutawazwa bingwa wa Spain La Liga. Lakini Messi hajawai kuipatia nchi yake kombe lolote zaidi ya klabu yake ya Barca. Hii inampunguzia uzito na nadhani inamwuma sana moyoni akiona mpinzani wake anashinda makombe
Ameshaipa nchi yake medali ya dhahabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom