Ushauri: Kuna mwanamke ananipenda lakini mimi naishiwa hamu kwa kuwa ananuka mdomo

Mkuu neno sawa umelitumia kwa msisitizo mkubwa, mpaka nahisi nawewe unanuka mdomo.!!!!???

Inakera kuona kwamba uelewa wa jamii yetu kwa mambo madogo kama haya unazidi mnoo!! Badala ya kujadili jinsi ya kuondokana na umasikini uliokithiri kwenye maisha yetu unakuja na kuomba ushauri kuhusu kunuka mdomo. Mjukuu wangu wa 7 yrs anajua kwamba kama hapigi mswaki vizuri, na kila anapolala na kuamka mdomo utanuka, this is simple. Pia inafahamika kwamba hata kwenye semina/warsha pipi zinawekwa ili kama kuna wenye hilo tatizo watumie pipi ili kuwa na harufu nzuri ya kinywa. Hata viongozi wanapojua wanaenda kukutana na wenzao na kuwakumbatia wanatumia pipi maalumu ili kuondoa harufu mbaya, this is very obvious facts....
 
Mtafutie vinager awe anakunywa kijiko kimoja cha chai asubuhi kabla ya kula wala kupiga mswaki na usiku dakika 45 baada ya kula chakula cha usiku. Ale vyakula vyenye vitamini na virutubishi vyote muhimu hasa mboga za majani mbichimbichi zilizopitishwa kwenye joto kwa wingi na matunda fresh. Anywe maji mengi muda wote na Apunguze vyakula vya wanga na sukari na apige mswaki kila baada ya mlo na kabla ya kulala.
Sio vibaya ukatufafanulia tusiojua vinega
 
Imeshanikuta hiyo.Nilipata demu ana tako balaa.Ila hiyo haruf ya mdomo ni balaa.Ukimpa lift kwa gari huwez funga madirisha na kuwasha AC, lazima ufungue madirisha.
Mwisho wa siku nilivunjua uhusiano.
 
Kunuka mdomo ni tatizo kubwa sana kwa watu wengi lakini kuna wengi pia wanajua kuwa wananuka mdomo na kiukweli kunuka mdogo kuahuhusiano mdogo sana na usafi wa kinywa watu wengi wanaonuka mdomo wanajijua udhaifu wao na lkn wanatumia kila mbinu na tiba lkn mambo yakaendelea kuwa hivyo ushauri wangu Ongea nae na umsaidie mwende hospital na ongea nae kwa upole atakuelewa
 
Kuna dawa ya meno ya Forever mtafutie hiyo, pc 2 zinatosha atumie asubuhi na jioni.Kama ndo kasoro tu,utaenjoy. Na kama humtaki,msaidie kama unavyoweza kutoa msaada wowote angalau siku akimpata mwingine amkute akiwa sawa.
 
Tuko wengi wa hivo mkuu. Ilinitokea nikija mbulu February mwaka huu yaan nilimkataa sababu hyo ila demu alinitaka sana
 
Back
Top Bottom