Kama hakuna anayekithamini Kiswahili huko Kenya, kwanini viongozi wakubwa wa kitaifa kama Rais na Makamu wake wanahutubia kwa kiswahili na wanamuziki wote wa Kenya wanaimba nyimbo za Kiswahili?
Sasa braza ushasema mwenyewe kuwa unajua sheria hairuhusu kujenga ndani ya makazi ya wakimbizi, ataruhusu vipi ujenzi huo? Huoni kuwa atakuwa anavunja sheria?
Hao Watanzania 2% ndio wamelengwa hapa. Kama mzungu kaja kwako akakukuta unakula kwa mkono naye akala kwa mkono kwanini wewe ukienda kwake usile ki utamaduni wake? IQ kubwa hujengwa kujua masuala mengi tofauti tofauti. Huwezi kuwa na IQ kubwa kwa kujua tu namna ya kusaidia 98% ya Watanzania...
Mabasi huwa yanaondoka ubungo saa 11 na nusu. Ndege saa 12 kamili. Kwa bus itakubidi ufike nusu saa kabla ya safari na kwa ndege lisaa limoja au hata nusu saa kabla kwakuwa ni safari ya ndani
Kwa mabasi luxury nauli ni 70, ndege go in return ukiwahi ni 710,000 kwa ATC. Upande wa Precision wako juu zaidi, nadhani ni kuanzia 800,000 ukiwahi, ukichelewa kukata kwa hizo ndege hata milion inafika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.