Mishahara ya save the children

kalikumutima

Senior Member
Oct 9, 2014
147
46
Naomba kwa anaefahamu mishahara ya NGO ya save the children kwa Tanzania maana nimeona tangazo la kazi likitaka mwombaji ataje na mshahara anaotaka alipwe akiajiriwa
 
Bado hujakatwa hapo!
Kumbe ni gross salary.?

Ila sawa tu kuliko kukaa mkavu mtaani ni heri uwe nao karibu, unaweza kuongeza uzoefu na kuepuka kuomba vocha.

Ambacho sikuwaelewa kwenye tangazo lao wameandika," The enumerator will be contracted occasionally once the research/assessment or survey happens". Inamaanisha ikipita miezi miwili hakuna research na salary nayo hakuna?!?
 
Inakuwa ya msimu yaani ikitokea assesment au research nyingine ndo wanawaita enumerator nadhan salary mtajadiliana kwenye huo mkataba
 
Back
Top Bottom