Recent content by posh77

  1. P

    JamiiForums Tanzania Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    [ Dr.Asha rose migiro................ ????????????????????? Nani kasema ] 2015 ni Bernard Membe for presidency
  2. P

    JamiiForums Tanzania Pinda ni masikini kweli...tuache unafiki.

    huyo sio mama pinda acheni kutudanganya
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kumbe jiji la Mwanza (the rock city)zuri hivi!!

    Mji ni bomba ile mwanza.
  4. P

    JamiiForums Tanzania 2001 Corona Premio for Sale

    kama uko tayari kwa 7m tufanye biashara fasta
  5. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ya kumsaidia mpenzi wangu

    hahhahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msechu 'kachakachuliwa' Tusker Project?

    Wabongo bwana kila kitu kinachakachuliwa?mimi sikubaliani na hilo kabisa davis mkali na alistahili,msechu nae yuko vizuri lakini hakumshinda davis,all in all wote ni washindi ila kwa sababu haiwezekani wote kushika namba moja basi davis alipaswa kushika namba moja na msechu namba mbili,big up...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

    Gsana unajua Mh JK huwa anatoa msamaha kwa wafungwa wa aina gani?how far are u sure kama hana hatia,wabongo bwana kwa kupenda kusikiliza maneno ya vijiweni!
  8. P

    JamiiForums Tanzania GE2010 Hii ya huyu waziri ni kiboko!

    Hahahahhahhahahahhahahhah,Mashaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
  9. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli apindua mipango ya ufisadi TANROADS

    Go Mgufuli go,wamezoea kufanya kazi kwa uzoefu na kutokuwa serious ,fanya kazi baba Mungu anakuona na atakulipa tu,twatutakia maisha marefu ikiwezekana uzunguke wizara zote unafaa sana
  10. P

    JamiiForums Tanzania JK na Shahada za heshima

    acheni ushamba, huo ni udaktari wa heshima na anayo haki kwa juhudi zake, mwalimu Julius Nyerere alipewa udaktari wa heshima mara 16! Ndiyo mshangae Kikwete! idiot
  11. P

    JamiiForums Tanzania GE2010 Jennister Mhagama wa peramiho kaikosea nini ccm!?

    Isingekuwa rahisi kumpitisha yeye kuwa naibu spika wakati yalishapendekezwa majina matatu ya wanawake ambao wote walikuwa wanawake,ndio maana baada ya kutajwa majina hayo wakaongeza muda wa kuchukua form kwa sababu aliyekuwa amechukua ni Jenister peke yake kwa hiyo lazima angeshinda tu unaibu...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Cabinet mpya: JK kakosea wizara 5 nyeti

    Upuuzi mtupu Originally Posted by Fareed Kikwete amejitahidi kiasi kuepukana na mawaziri ambao wana tuhuma/kashfa za ufisadi kwenye cabinet yake mpya. Lakini nimegundua kuwa wanasiasa vilaza wenye uwezo mdogo wa akili, ubunifu na kuchapa kazi ndiyo wamepewa kuongoza wizara nyeti. Kwa maoni...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Pamoja na yote kaka zangu

    hahahhahahha
  14. P

    JamiiForums Tanzania GE2010 Nani akipewa Uwaziri, Utashangaa, utasikitika au utafurahia?

    Akirudishwa Mizengo Kayanza Peter Pinda itakuwa bomba sana,hakuna sababu yoyote ya msingi ya kumtoa na kumweka mtu mwingine anafaa kumalizia ng'we hii 2010-2015. Go Pinda go.
Back
Top Bottom