malipula
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 323
- 120
Hivi umaskini ndo sifa ya kiongozi bora? Naamini kuwa maskini ni ujinga tu na kuonyesha jinsi gani hukutumia akili na fursa zilizopo kujiletea maendeleo binafsi.Amekuwa serikalini miaka zaidi ya ishirini serikalini na bado ni maskini,du!
Kama kiongozi ni maskini atawezaje kuwaondoa wananchi toka kwenye umaskini? Je kipofu anawezaje kumuongoza kipofu mwenzie, siwatatumbukia wote shimoni?
Kama kiongozi ni maskini atawezaje kuwaondoa wananchi toka kwenye umaskini? Je kipofu anawezaje kumuongoza kipofu mwenzie, siwatatumbukia wote shimoni?