Natafuta dawa ya kumsaidia mpenzi wangu

hizo sanaa tu,wanajijuaga hao ndo maana wanapiga kelele ili ujisikie na wewe upo juu....lakini kawaida sana tu jaribu kuwa mbunifu zaidi nenda chumvini ndo dawa pekee.
 
Asanteni sana kwa mliotoa mawazo mazuri pamoja na links. Hiyo ya kifo chamende nimesha jaribu lakini wapi haikusaidia. Nimesha jaribu hata yeye kunikalia lakini wapi sisikiagi kitu kabisa. Na pia sijawahi kumwambia kwamba ana mashine kubwa hivyo kumwambia atumie dawa naazia wapi? Kumwambia kwamba ana mashine kubwa naona kama nitakuwa namzalilisha. Kuhusu TIGO mtanisamehe sitaweza kwani nampenda sana demu wangu.
 
Kaka huo ni mgogoro mkubwa.
Kwa vile hata tukikupa dawa hautoweza kumpa hapa inabidi uongeze ubunifu tu maana tutakwambia mengi lakini kila mtu ana experience zake. Kama nikipotabo achana na kitanda, mgongee kwenye kiti, kochi etc ili mradi unaweza kumbana uzuri.
Zaidi ya yote siku hizi bwana lazima muongelee hisia zetu hii habari ya atajisikiaje ndo inatuletea HIV maana mwisho wa siku utashawishika ugonge nje na ukionja mara moja ukakutana na kitu cha motoooooo halafu kinatweta, kaka mzinga utauchonga mwenyewe.

Habari ya tigo achana nayo ni kumdhalilisha mpenzi wako ingawa wao wakipenda huwa wako tayari akupe chochote!
 
mkuu kwanza pole sana kwa hilo tatizo.i can imagine how dissappointed you were wakati ulipolala nae kwa mara ya kwanza hasa ukizingatia juhudi za muda mrefu za kumpata.hapa mkuu cha kutia akilini ni kua kila mtu anamapungufu yake ya kimwili na kiroho hivyo usije hata siku moja ukamlaumu kwa yeye kua jinsi alivyo.cha kufanya ni kumfundisha awe anakuandaa kabla ya kuanza game.mwanamke ananjia nyingi za kuhakikisha unakua hoi bila hata ya kuingiza popote.ninahakika akikuandaa vyema kitendo cha kuingiza tu utakua umefika panapotakiwa.kwa mtazamo wangu swala la tigo achana nalo.ukilianza unaweza kuleta complications kubwa kuliko hata zilizopo sasa hivi
 
POLE SANA,ilo tatizo la maumbile na sidhani kama dawa zinasaidia na umeshasema hutaweza kumwambie kwamba ana umbile kubwa.basi we omba tu wakupe staili nzuri zitakazo fit. huyo binti inaelekea ni mwembamba sana maana ndo huwa na matatizo hayo.
 
Ninae mpenzi wangu, nilitumia kama miaka mitatu mpaka kumpata. Kweli ni mzuri sana. Nilivyokula mzigo sikuamini kwani ana mashine kubwa sana.Kweli hata kukojoa ni ngumu kwani hakuna joto lolote ninalopata. Yeye nahisi ana enjoy kwani anapigaga kelele za kutosha. Naomba kama kuna dawa ya kumpatia nifahamishwe ila mimi sijawahi kumwambia hayo mapungufu yake kwani nampenda sana.

Achana na ushauli wa woote haooo..... nipe mimi huyo....
 
Back
Top Bottom