Recent content by Polyasi Mtangoo

  1. Polyasi Mtangoo

    Msaada Wa Ushauri: Supervisor wangu ni kilaza

    Niliwahi kuwana boss anaependa kuagwa basi me hata nikitaka kwenda chooni naenda kwake. Boss naingia uwani kidogo, boss nipo hapo nje napunga upepo kidogo, boss nipo kula. Hadi akasema sio kila kitu lazima niage nikarudisha gia yangu ya...
  2. Polyasi Mtangoo

    Mchoro maarufu uliosumbua vichwa vya watu

    Nimeweka wallpaper simu imehama mfuko [emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Polyasi Mtangoo

    Mwigulu Nchemba ashauri Serikali iache kutangaza wagonjwa wapya wa Corona, itangaze wanaopona na wanaokufa

    Imagine huyu alikuwa waziri wa mambo ya ndani wa nchi yetu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Polyasi Mtangoo

    Wengi wanamkubali Bob Marley ila Mfalme wa Reggae duniani ni Lucky Dube

    Dube mwenyewe alikuwa anamkubali Bob Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Polyasi Mtangoo

    Wenye hisa Tigo huu mwaka sio wao kabisa

    Unapesa kiasi gani kaka van dame Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Polyasi Mtangoo

    GE2020 Wanaotaka ubunge 2020 tukutane hapa

    Me mwenyewe nalitaka jimbo la mtera Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Polyasi Mtangoo

    habari ! kwa wale wataalamu wa maswala ya bitcoin

    Umekuwa unatumia website gani kufanya mining?
  8. Polyasi Mtangoo

    ADVANCED PHYSICAL CHEMISTRY

    Fanyeni harambee kuchangisha fedha
  9. Polyasi Mtangoo

    90% ya wanaume wa Tanzania, hatuvutiwi na wanawake wanaovaa mawigi

    Haya ndio tuliyo discuss kwenye kikao cha wanaume na hapa katibu kipepe anawasilisha kwenu [emoji41][emoji41][emoji41]
  10. Polyasi Mtangoo

    Natafuta kazi za mtandaoni kama kuendesha blogs

    Mzee wa poems Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Polyasi Mtangoo

    Wadau mnajua hawa godtec (T)LTD

    Me nawajua vizuri, niliwahi kuomba kazi walizotangaza nikiwa Geita, wana hizo huduma zao unatakiwa uzinadi watu wajiunge wawe wanapelekewa chakula, wameziweka kwenye package 4,kwanza hazieleweki pili huwezi pata mteja na unalipwa pesa kidogo tena baada yakufikia kiwango cha wateja...
  12. Polyasi Mtangoo

    Natafuta tenda ya kuchenjua marudio ya dhahabu

    Sogea mikoa ya kanda ya ziwa mkuu huku utachina mzee
  13. Polyasi Mtangoo

    Natafuta kazi

    Diploma toka chuo gani mkuu?
  14. Polyasi Mtangoo

    Assistance lab technician anahitajika

    Laboratory za mambo gani mkuu? Afya, viwanda, shule, migodi au in General?
  15. Polyasi Mtangoo

    Familia ya Mohammed Dewji yatenga Bilioni Moja kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Mo

    Lol... Mara wiki, mwezi, siku 100 jamaa hajapatikana [emoji849][emoji849][emoji849]
Back
Top Bottom