Wadau mnajua hawa godtec (T)LTD

matyazo

Senior Member
Oct 29, 2014
109
31
Wanajamvi kwema humu ndani??..
Naulizia kama kuna mtu ambaye anawajua hawa godtec kiundani hasa anisaidie..manake nimeudhuria usaili wao ninamashaka nao sana kwa kile wanachokusudia kukitoa kwenye huduma zao..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eleza kwanza hayo mashaka ili na sisi tupate pa kuanzia kuchangia
Unawajua lakini sio naeleza mashaka kwa mtu asiyewajua...okay hawa wanatoa hudumu ya elimu kwa wajasiriamali wadogo na wa kati..ili ujiunge kua mfanyakazi wao yan kufanyiwa inrollment lazima ulipe ada ya huduma yao almost 49500 kwa mwezi...sasa nawasiwasi isiwe kama wale as forever product.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.ili ujiunge kua mfanyakazi wao yan kufanyiwa inrollment lazima ulipe ada ya huduma yao almost 49500 kwa mwezi...sasa nawasiwasi isiwe kama wale as forever product.
ngoja pombe iniishe kwanza nitarudi kuchangia
 
Unawajua lakini sio naeleza mashaka kwa mtu asiyewajua...okay hawa wanatoa hudumu ya elimu kwa wajasiriamali wadogo na wa kati..ili ujiunge kua mfanyakazi wao yan kufanyiwa inrollment lazima ulipe ada ya huduma yao almost 49500 kwa mwezi...sasa nawasiwasi isiwe kama wale as forever product.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani wakuajiri na pesa uwalipe,???? Shenz kabisa
 
Unawajua lakini sio naeleza mashaka kwa mtu asiyewajua...okay hawa wanatoa hudumu ya elimu kwa wajasiriamali wadogo na wa kati..ili ujiunge kua mfanyakazi wao yan kufanyiwa inrollment lazima ulipe ada ya huduma yao almost 49500 kwa mwezi...sasa nawasiwasi isiwe kama wale as forever product.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi kazi za kutozwa pesa ni usanii tu,mtu anatafuta ajira ili apate pesa halafu mtu huyo huyo unamtoza pesa. Usitoe mkuu,tafuta kazi ambayo hutotozwa pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nawajua vizuri, niliwahi kuomba kazi walizotangaza nikiwa Geita, wana hizo huduma zao unatakiwa uzinadi watu wajiunge wawe wanapelekewa chakula, wameziweka kwenye package 4,kwanza hazieleweki pili huwezi pata mteja na unalipwa pesa kidogo tena baada yakufikia kiwango cha wateja walichokupangia. Kama umejiunga all the best ndugu katika upotevu wa muda na nguvu zako nyumba kwa Nyumba

Bado sijajiunga na sina mpango wa kujiunga kwa utapeli huo siwezi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom