maufoungph
Member
- Oct 16, 2018
- 71
- 161
Baada ya zoezi la kubadili laini kwenye mfumo wa alama za vidole imepelekea Tigo kupoteza wateja wengi na hii kwavile udhaifu wa huduma zao kwa upande wa vifurushi, kusema ukweli Tigo tunatumia kwavile wakati tunaanza kutumia simu tumekuta Tigo ipo kwenye hadhi na urais wa vifurushi na ilikuwa ngumu kubadlika kwenda mtandao mwengne kwavile watu wengi hujua namba zetu na hata miamala ya fedha zenu huhusisha laini hizo.
Sasa mwaka huu kwisha kabisaa, leo nasikilza radio nakutana na tangazo la kushawishi wale waliofungiwa laini zao warudi kwa mawakala kurudisha laini hizo, yaani hii kampeni sijaona kwa mtandao wowote tena balaa zaidi endapo utarudisha laini yako utapata offer ya vifurushi. Afisa masoko ameshagundua kwanini sokoni kunalega lega. Umiza kichwa umiza kichwa baba na wale waliyowekeza hapo vichwa kuuma.
Sent using Jamii Forums mobile app