Uchaguzi 2020 Wanaotaka ubunge 2020 tukutane hapa

Sema unataka kugombea jimbo gani na chama gani ili upate ushauri na Watu wa kukuunga Mkono....

Mimi nagombea Mtera-Dodoma.
Chama-Chadema
2020-2025

Naomba kama naweza kupata ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe namba ya kadi yako ya uanachama na udhibitisho wa kulipa ada za uanachama kila mwaka. Haya ndiyo maswala ya msingi kwao utakayoulizwa. Ha ha haaa! Nakuonaona unavyoanza kubabaika....ha ha ha haa
 
Back
Top Bottom