Recent content by pleti namba

  1. P

    JamiiForums Tanzania Sikujua kwamba Zanzibar ni ndogo hivi!

    Hakuna dini inayoruhusu uvivu na kushinda kwenye bao
  2. P

    JamiiForums Tanzania Sikujua kwamba Zanzibar ni ndogo hivi!

    Bora siye wafunga tai kuliko nyie wafunga misuli na kushinda kwenye bao kutwa nzima Sasa mlewe ili iweje na wakati kilevi ni kwa ajili ya wachapa kazi
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya kituo bora cha mabasi Sinza, hogera Pamba na Mnyika

    Kama kile kituo cha polisi ndo nmekipenda mno hongera kwao
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msaada. Jamani kuota nywele sehemu hizi...

    Hahahahaa! Kweli bora tubaki na hizi id feki mana mkuu umejieleza vizur mpaka nmecheka… ila ni kawaida kabisa si ugonjwa huo
  5. P

    JamiiForums Tanzania Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

    Hawa wamarekani ni wabinafsi sana sikunyingine sijisumbui kupoteza pesa zangu na usingizi kwa ajili ya upuuzi wao
  6. P

    JamiiForums Tanzania Wanawake na sisi tuseme ugonjwa wetu jamani kwa kina kaka

    Mimi sifa zote sina ila pesa ninayo unasemaje? C.Thady
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini sababu ya wanaume wengi kutamani sana wanawake mwenye makalio makubwa?

    Umeongea ukwel mkuu yanavutia kwa nje tu ila ukiona mzigo wenyewe utatamani kutapika mana nimekutana na mmoja jana hadi nikajuta sitaki tena mizigo mimi
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume ili aje awe mume

    Kama unaishi dar basi utakua umeshindikana mana katika mil5 umekosa hata mmoja?
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, huyu ananipima kama nampenda au anatatizo kweli?

    Mi hata sijashangazwa na hiyo stori sababu yalishanikuta enzi nipo mwaka wa kwanza kipind hicho chuo kikuu kinaheshimika ukitoa id tu ni kama umetoa red card uwanjani yani fasta hata huongei saana but piga kitabu dogo wazuri wanazid kuwa wengi mno utakula hadi mifupa
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nani mwimbaji bora wa Gospo wa mda wote Tanzania?

    Vile vile ile kwaya ya kijitonyama upendo group naipenda mno kuna bwana mmoja nafkri ndo main vocalist ila sikuizi wamepoteana ila albam yao ina dumu sana tatzo njia tu ya kurekod ndo ilikua ya kizamani pengine wangepata vifaa vya kisasa mbona wangewaacha wale joyouz celebration wa SA maana ndo...
  11. P

    JamiiForums Tanzania PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

    Sasa nmeanza kupata mashaka na wewe kwa kazi unayofanya Sasa nikwambie ukweli mwaka jana nmemfanyia application za tcu ndugu yangu ana dv4 na kapangiwa udom sasa wewe sijui umekula maharage ya wap kwako hilo ni jipya:what:
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mnyika Mbunge wangu, ya wengine unayajua, yako je?

    Ana wayawayaaa hahaha!…
  13. P

    JamiiForums Tanzania PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

    Et ilimradi uwe na prinsiple tu kweli bongo tambarare
  14. P

    JamiiForums Tanzania PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

    Div3 mbona kubwa sana mkuu udom wanachukua hadi 4
  15. P

    JamiiForums Tanzania Nani mwimbaji bora wa Gospo wa mda wote Tanzania?

    Nakuunga mkono asilimia zote mkuu ila ndo chimbuko la upendo kilahilo
Back
Top Bottom