Mnyika Mbunge wangu, ya wengine unayajua, yako je?

We kwenda kule wabunge wangapi wengine wametekeleza haya hela wametoa wapi....nenda moshi uone alichofanya ndesamburo........acha ujinga yeye ndiye msimamiaji na kuhakikisha yale aliyoyasema anatekeleza sasa tunaona kila siku bora na miaka 10 iliyopita kweli Mnyika UBUNGO SI SIZE YAKO.....ONA INAKUPWEREPWETA SASA

Halmashauli ya mji wa Moshi ipo chini ya cdm,kwa Kinondoni ipo chini ya ccm,ccm wao ni kukomoa majimbo ya upinzani tu,kwa Mnyika amefanya kazi.
 
Kiongozi palipo ukweli tuseme,mi ni mkazi wa ubungo, ebu nitajie walau kazi 3 ambazo mnyika kazifanya ktk kata ya ubungo hususan mtaa wa kibo, kabla hujatetea fikiria c bora uongee, tunapenda sana kata yetu ndo maana tunalalamika pia hatutaki kumpoteza mnyika ndio maana tunamwambia ukweli
 
Kwa kweli wanaolaumu kwa kupata mbunge mnyika hawajitambui. Afadhali hata mbunge wangu mnyika bungeni anasikika, kuna wabunge mmmm....
 
Mh Myika na Diwani wa Ubungo wananchi wanalalamika kwa kupuuza au kudharau changamoto zilizopo Ubungo.Umejiuliza kwanini wapiga kura Mtaa wa Ubungo kisiwani waliamua kupiga kura za chuki na kuwapa ushindi CCM kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwishoni mwa mwaka jana?Kisa Inadaiwa Wewe na Diwani wa Chadema mmeingia mitini!!.
 
Tumekuwa tukilaumu sana safari za J.Kikwete Ulaya na kusahau kutembelea na kutatua matatizo ya wananchi wake, hali hii napenda niifananishe na Mbunge wangu Mnyika yeye kila siku kimguu na njia ila mtaani kwetu haonekani.

Hatujakuchagua kuwa mbunge wa magazeti, kumbuka ni sisi wana Ubungo tuliokufanya ufikie hapo.

Nawasilisha na hii ni maalumu kwa wana Ubungo

Hapana sio kosa la Mnyika hata kidogo. Uongozi wa chama na Kitaifa haukutenganishwa na ndio tatizo linalowapata Chadema. Hadi watakapo kubali kubadilika muundo wa chama na sekretariet yake pengine ndio utawaona wabunge wako maana Bavicha peke yake hawawezi kuwa na nguvu sawa na Makao Makuu.
 
Mnyika namkubali xna coz ucmamiz wake kwa viongoz waliochini yake n mzr coz maendeleo c lazma mpaka akuletee home kwako kiongz bora ni kucmamia vizr maendeleo ya wananchi na matumiz mazur ya fedha mnyika katekeleza kwa kias kikubwa ktk muda wake mchache WA uongoz ndn ya jimbo letu mwachen mnyika aendelee pia makosa yapo kwa kila mtu ila je! Mapungufu yako unayaepukaje?
 
Mnyika hajafanya chochote Ubungo, anazurura tu wakati wana Ubungo tuna taabika na maji
 
Kiongozi palipo ukweli tuseme,mi ni mkazi wa ubungo, ebu nitajie walau kazi 3 ambazo mnyika kazifanya ktk kata ya ubungo hususan mtaa wa kibo, kabla hujatetea fikiria c bora uongee, tunapenda sana kata yetu ndo maana tunalalamika pia hatutaki kumpoteza mnyika ndio maana tunamwambia ukweli

barabara ya msewe chuo kikuu,baruti
 
Swala LA maji kwa mikoa sugu ni mojawapo na dar hili tatz n kubwa offcourse na hii inatatokana na mipango miji ya jiji letu ilikosewa toka enz na enz japo kwa kias fulan ametekeleza ahad zake kwa wana ubungo tofaut na viongoz waliopita kabla yake
 
Too blind to see, hao ndo watanzania, miaka around 5 anaonekana hajafanya kitu, miaka 50 ya uhuru ndo waliofanya kitu eehhhh!.
 
Swala LA maji kwa mikoa sugu ni mojawapo na dar hili tatz n kubwa offcourse na hii inatatokana na mipango miji ya jiji letu ilikosewa toka enz na enz japo kwa kias fulan ametekeleza ahad zake kwa wana ubungo tofaut na viongoz waliopita kabla yake

Wapiga kura ni sisi wana Ubungo tutalinganisha theory na practical zako jimboni.
 
Kiongozi palipo ukweli tuseme,mi ni mkazi wa ubungo, ebu nitajie walau kazi 3 ambazo mnyika kazifanya ktk kata ya ubungo hususan mtaa wa kibo, kabla hujatetea fikiria c bora uongee, tunapenda sana kata yetu ndo maana tunalalamika pia hatutaki kumpoteza mnyika ndio maana tunamwambia ukweli

Mbona mgumu kuelewa?Umeambiwa CCM wanaukomoa upinzani hasa kama wao ndio wanaiongoza halmashauri au manispaa.
 
Mnyika hajafanya chochote Ubungo, anazurura tu wakati wana Ubungo tuna taabika na maji
Hivi tatizo la maji limeanza wakati wa uongozi wa Mnyika? Km ccm waliongoza jimbo hilo karibu miaka 50 na wao ndy serikali yao inakusanya kodi na hawakuweza kulitatua, je miaka 5 ya Mnyika na hujuma wanazofanyiwa wabunge wa upinzani na wakurugenzi wilaya ya kuzuia miradi ya maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani hamuoni???
Mwezi February ITV walirusha kipindi maalum kuhusu tatizo la naji Dar es salaam na hasa ubungo kwa waliofuatilia watajua tatizo sio mbunge, mnyika amefanya jitihada kubwa sana kutatua kero ya maji ubungo lakini tatizo liko ngazi ya wizara.
Lakini kwa waliomsikiliza pro.Maghembe jana wakati wanakabidhi vifaa vya kuchimbia visima watajua ratizo la maji ni la kisera na vipaumbele vya wanaokusanya kodi.
 
Back
Top Bottom