N'gwanantugwa
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 347
- 345
Kama jana uliangalia taarifa ya habari,nadhani uliona jinsi kituo cha mabasi Sinza kilivyojishindia tuzo ya kituo bora na cha kisasa Afrika baada ya kuvibwaga vituo kibao ndani na nje ya nchi.
Nachukua fursa hii kama mtanzania naependa maendeleo ya mtanzania kumpa pongezi Mh.Diwani wa kata ya Sinza MH.RENATUS PAMBA kwakuwasilisha hoja ambayo leo imezaa matunda yanayotazamwa kama mfano Afrika.Akishirikiana na wajumbe wengine wa ukawa.
Mh aliweza kujenga na kuisimamia hoja hiyo ambayo imebadili sura ya Dampo lataka kuwa kituo kikubwa na cha kisasa cha mabasi.
Nimiradi mingi ya serikali tumeshuhudia ikijengwa chini ya kiwango ila huu mradi umejengwa juu ya kiwango ndiomaana umepata tuzo ya kituo bora Afrika.
Hoja hiyo ya mh.
Pamba ilisimamiwa vizuri na Mbunge wa jimbo la ubungo,mwenye dhamana ya kusimamia kata hiyo ya Sinza Mh.JOHN MNYIKA ndio maana mafanikio hayo yamefikiwa.
Kama mtanzania lazima nitembee kifua mbele napoona mafanikio ya kisiasa yanayoleta maendeleo katika taifa langu yanaletwa na viongozi vijana kutoka katika chama changu.
Kuna miradi mingi imetuaibisha taifa kutokana na uendekezaj wa rushwa iliyobobea mpaka leo miradi hiyo imekuwa ni mzigo kwa taifa.Lakini leo hii Renatus Pamba na Mnyika wameisimamia na kuielekeza manispaa nini kifanyike ili kesho uongozi wao tuukumbuke.
HONGERA PAMBA,HONGERA MNYIKA,HONGERA CHADEMA