Kwa muda mrefu nimekua mteja mtiifu wa bidhaa zenu. Ila miezi ya karibuni kuanzia mwaka jana mmekua mnafanya mambo ambayo sisi wateja watiifu HATUWAELEWI. Mlianza na kulazimisha kila mtu kunywa vinywaji vya jamii ya Coca (sprite etc) visivyo na sukari, kwa maana ya kua usambazaji ulikua ni more...
Maelezo meengi ya kusaidia kuelewa taratibu zinazopaswa ila WHAT IS YOUR POINT?
Manake hii nchi kila kitu maelezo meengi hadi unasahau mwanzo mtu aliongea nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau,
Nayaandika haya baada ya kupata mrejesho kutoka kwa mdau wangu ambaye anajishughulisha na masuala ta utafiti.
Mdau alituma maombi kwa kwwnda physically miezi 8 iliyopita akiomba kibali cha tafiti a.k. a approval ya protocol.Maajabu anayokutana nayo ni kua kila anapopiga simu au kwenda...
Kwani wanaopinga sababu wamesema ni mbaya?? Kuna masuala ya priority setting na affordability hayo ndiyo yanayohojiwa.kila mtu anajua ndege ni nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Waeleze namna ya kukuza uchumi na mikakati endelevu ya kuboresha maisha..hilo la role ya tz kwa nchi nyingine kua huru imekua ndio wimbo......cement iko 18000 yet hakuna strategy nzuri ya kiuchumi kukabiliana na hili...mfumuko ws bei etc.. sio issue za kutumbia tuko pazuri Sana. Tusifie na kutoa...
Ni mambo tu yanavurugika ila gari ni kitendea kazi cha muhimu kuwa nacho..gari ikitumika vzr inakusaidia kuratibu mishe za kukuletea kipato ili ununue ardhi.
ILA kuna mentality za kimaskini kua gari ni anasa ..hili naliona hata kwenye mifumo yetu ya kodi ambako unalipa kodi kuingiza gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.