Waziri Lugola akiliangalia gari lililopata ajali msafara Rais Magufuli

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akiliangalia moja kati ya magari manne yaliyopata ajali yakiwa kwenye msafara wa Rais John Magufuli katika Kijiji cha Kasuguti wilayani Bunda mkoa wa Mara.
FB_IMG_15360841812763882.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii serikali ina watendaji wenye vituko diverse. Namkumbuka waziri aliyepita jinsi alivyokuwa anawahi maeneo ya matukio hususani uhalifu wa kuuawa polisi wetu pale mbagala akiwa ndani ya gwanda
 
Back
Top Bottom