Kijana badilika acha huu ujinga mara moja

Habar za muda huu, wana JF ujumbe huu uende kwa kijana yeyote anaitaka kesho iliyo njema.

Matajiri wanaishi kama masikini na masikini kama matajiri, Tajiri ananunua simu ya sh 300,000/= na anatoa 4p airtime ya mwezi mzima.

Masikini ananunua simu ya sh 1,200,000 na anajiunga kifurushi cha tsh 1000/= kwa siku mfanyakazi anapokea mshahara wa tsh 750,000/= na anafanya birthday part ya sh 1,000,000/=

Vijana wa shamba wanaoishi mikoani kazuramimba kila mwisho wa mwezi ananunua debe 6 za mchele, debe moja ni sh 30, 000/= kwa mwezi ni 180,000 Tayari ni gunia moja.

Baadhi ya vijana wa dar wanaweka akiba 180,000/= ya kutumia kila ijumaa na masister duu na kupiga picha za kuweka Instagram.

Kijana wa kigoma anayenunua debe 6 za mchele kila mwezi kwa mwaka anakuwa na jumla ya debe 72 ambazo ni sawa na gunia 12 za mchele mwisho wa mwaka.

Mwaka mmoja una weekend 52 kama wewe ni mzee wa kula bata na kila weekend anatumia sh 100,000 basi kwa mwaka anakuwa anatumia sh 5,200,000/= je hii pesa kama ungeitumia kama yule kijana wa kigoma anayenunua debe 6 kila mwisho wa mwezi unafikiria ungekuwa wapi?

Je unajua magazeti yanayoandika bei za mazao Tanzania? Unajua maana ya standing order back. Tumepewa akili kubwa sana na mwenyezi Mungu ila baadhi ya vijana wanaweka akiba 180,000/= ya kutumia kila ijumaa na masister duu na kupiga picha za kuweka Instagram.

Tumepewa akili kubwa sana na mwenyezi Mungu ila social media imetufanya tupende kusoma udaku na mapenzi.

Badilisha mfumo wa matumizi ya smart phone, ubadili fikra na ufute marafiki wanaokupa habari za umbea.

Change today for the better tomorrow.

Bila shaka we ni Billionea
 
Doooh sasa hii kali mimi mfanyakazi makura kuku mzima boss anakura kidaliNakunywa Kitu inaitwa ainess chupa nzima boss anakunywa safali lager
Halafu boss anakusifia jinsi gani unajipenda na ww unachekelea
 
aisee inawezekana jamaa kaongea kitu muhimu au kipya kwako. Lakini kwa sisi wengine tushakisikia saaaaaana, na tushajaribu au kuwaona waliojaribu kukifanyia kazi.

Lakini believe me there is no straight way to success. Kama ingekuwepo Basi Kila mtu angeifuata

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Kama huwezi kujinyima kwa ajili ya kesho yako, neno mafanikio utaishia kulisoma kwenye magazeti.
 
aisee inawezekana jamaa kaongea kitu muhimu au kipya kwako. Lakini kwa sisi wengine tushakisikia saaaaaana, na tushajaribu au kuwaona waliojaribu kukifanyia kazi.

Lakini believe me there is no straight way to success. Kama ingekuwepo Basi Kila mtu angeifuata

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Mkuuu anashauri tupunguze starehe tuweka pesa...Sasa kama Huna hela na Sio mfanya starehe ..huu Sio Uzi wako
 
Habar za muda huu, wana JF ujumbe huu uende kwa kijana yeyote anaitaka kesho iliyo njema.

Matajiri wanaishi kama masikini na masikini kama matajiri, Tajiri ananunua simu ya sh 300,000/= na anatoa 4p airtime ya mwezi mzima.

Masikini ananunua simu ya sh 1,200,000 na anajiunga kifurushi cha tsh 1000/= kwa siku mfanyakazi anapokea mshahara wa tsh 750,000/= na anafanya birthday part ya sh 1,000,000/=

Vijana wa shamba wanaoishi mikoani kazuramimba kila mwisho wa mwezi ananunua debe 6 za mchele, debe moja ni sh 30, 000/= kwa mwezi ni 180,000 Tayari ni gunia moja.

Baadhi ya vijana wa dar wanaweka akiba 180,000/= ya kutumia kila ijumaa na masister duu na kupiga picha za kuweka Instagram.

Kijana wa kigoma anayenunua debe 6 za mchele kila mwezi kwa mwaka anakuwa na jumla ya debe 72 ambazo ni sawa na gunia 12 za mchele mwisho wa mwaka.

Mwaka mmoja una weekend 52 kama wewe ni mzee wa kula bata na kila weekend anatumia sh 100,000 basi kwa mwaka anakuwa anatumia sh 5,200,000/= je hii pesa kama ungeitumia kama yule kijana wa kigoma anayenunua debe 6 kila mwisho wa mwezi unafikiria ungekuwa wapi?

Je unajua magazeti yanayoandika bei za mazao Tanzania? Unajua maana ya standing order back. Tumepewa akili kubwa sana na mwenyezi Mungu ila baadhi ya vijana wanaweka akiba 180,000/= ya kutumia kila ijumaa na masister duu na kupiga picha za kuweka Instagram.

Tumepewa akili kubwa sana na mwenyezi Mungu ila social media imetufanya tupende kusoma udaku na mapenzi.

Badilisha mfumo wa matumizi ya smart phone, ubadili fikra na ufute marafiki wanaokupa habari za umbea.

Change today for the better tomorrow.
Sidhani kama wanakuelewa zaidi Sana wanazidi kukuchukia Kwa kuwaambia ukweli.
 
Na nataka wachukie hasa...ili akipata tabu akumbuke kwamba kuna waliomkumbusha hivyo hatokuwa na wakumlaumu
 
MTU masikini wa maarifa hata angekuwa Prof bado atazidi Kuwa masikini. Hata ungempa 1b atazidi Kuwa masikini na mwisho kufa Kwa umasikini
 
Kuna Mzee aliulizwa ulianza kunywa pombe lini? Akajibu mwaka 1976 basi jamaa akaanza kwa siku unakunywa bia tano ambazo kwa mwezi ni bia 150, kwa mwaka bia ........, kwa miaka 44 bia ...... Ambazo ni sawa na bila ....... Ambazo ungejenga nyumba Leo ungekua na gholofa 5, magari ya kutembelea na biashara kubwa. Lakini yule Mzee alijibu tu kuwa kamuulize babu yako ambae hanywi pombe, havuti sigara maghorofa yake na magari yako wapi?

Kila mtu ashinde mechi zake ilimradi tu hakuombi unga wala chumvi.
 
Mnajua sana kujifariji ila uzuri mmoja akili inaweza kupembua kwamba hapa umeambiwa ukweli acha ubishi.
 
Mkuu we umenunua ngapi??
Inawezekana niliaribikiwa kama ulivyo ww sasa, ila kwa kuwa nilipata bahati ya kuambiwa ukweli kama huu na leo naanza kuyaona matunda, kwa nini na wewe leo ujirudi nyuma ukajitathmin bado ujachelewa...#Jitambue
 
Habar za muda huu, wana JF ujumbe huu uende kwa kijana yeyote anaitaka kesho iliyo njema.

Matajiri wanaishi kama masikini na masikini kama matajiri, Tajiri ananunua simu ya sh 300,000/= na anatoa 4p airtime ya mwezi mzima.

Masikini ananunua simu ya sh 1,200,000 na anajiunga kifurushi cha tsh 1000/= kwa siku mfanyakazi anapokea mshahara wa tsh 750,000/= na anafanya birthday part ya sh 1,000,000/=

Vijana wa shamba wanaoishi mikoani kazuramimba kila mwisho wa mwezi ananunua debe 6 za mchele, debe moja ni sh 30, 000/= kwa mwezi ni 180,000 Tayari ni gunia moja.

Baadhi ya vijana wa dar wanaweka akiba 180,000/= ya kutumia kila ijumaa na masister duu na kupiga picha za kuweka Instagram.

Kijana wa kigoma anayenunua debe 6 za mchele kila mwezi kwa mwaka anakuwa na jumla ya debe 72 ambazo ni sawa na gunia 12 za mchele mwisho wa mwaka.

Mwaka mmoja una weekend 52 kama wewe ni mzee wa kula bata na kila weekend anatumia sh 100,000 basi kwa mwaka anakuwa anatumia sh 5,200,000/= je hii pesa kama ungeitumia kama yule kijana wa kigoma anayenunua debe 6 kila mwisho wa mwezi unafikiria ungekuwa wapi?

Je unajua magazeti yanayoandika bei za mazao Tanzania? Unajua maana ya standing order back. Tumepewa akili kubwa sana na mwenyezi Mungu ila baadhi ya vijana wanaweka akiba 180,000/= ya kutumia kila ijumaa na masister duu na kupiga picha za kuweka Instagram.

Tumepewa akili kubwa sana na mwenyezi Mungu ila social media imetufanya tupende kusoma udaku na mapenzi.

Badilisha mfumo wa matumizi ya smart phone, ubadili fikra na ufute marafiki wanaokupa habari za umbea.

Change today for the better tomorrow.
Biashara za PDF hizi.
 
Back
Top Bottom