Pakua Poweramp player isiyo na mpinzani

Hahah ngoja nishushe niyo commet,nina earphone za rock zircon,zinapiga sana nilichukua aliexpress uko,,,hyo commet jamaa why hawajaleta kweny simu?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Jamaa sijui kwanini hawakuiendeleza aisee, yani ingekuwepo katika apk ingekuwa haikosi katika simu yangu. Huwa naitumia katika laptop tu nikiwa na kazi nyingi za kiofisi huchoki, ni mikito tu.
 
Attachments

  • IMG_20180831_075411.JPG
    IMG_20180831_075411.JPG
    4.6 KB · Views: 36
Poa poa mkuu..acha nicheki nayo
Jamaa sijui kwanini hawakuiendeleza aisee, yani ingekuwepo katika apk ingekuwa haikosi katika simu yangu. Huwa naitumia katika laptop tu nikiwa na kazi nyingi za kiofisi huchoki, ni mikito tu.

set pattern iwe hivi:
i i
i i
i i
- i i i i i
i i i i
i i i i

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Ndio mtk device hyo..hii apk kweny sim za mtk inaonekana ina shida mkuu..fanya ununue tu hyo app...bei chee

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Bas sawa ila nime uninstall, then nime install na upya naona imekaa sawa. Dawa itakua n hii tu, ila nikitulia ntailipia almost dollars 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom