News Alert: Whatsapp gan inavutia zaid(kuwa na option na uwanja mpana zaid)

Whatsapp Bussness ndio mpango mzima, unaweza set ikawa na AUTO REPLY Kwa kila atakayekutumia sms ,Profile yako inakuwa na work schedule na masaa ya kazi ,na pia unaweka email, contact, map, na unapopatikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
me mara ya kwanza ilikaa sana tu but ilivo expire ikawa nikiweka mambo yanakua mengi
 
Weka Official Whatsapp then kama unafanya biashara basi shusha na Whatsapp for business baada ya hapo kajenge Taifa!. Masuala ya Gbwhatsapp na the likes achia wanachuo na watoto!!..
 
100% wanao diss gb WhatsApp watakua ni wanaume wa dar

Sent using Jamii Forums mobile app
basi katika hili wanaume wa dar watakuwa advanced, GB WhatsApp mambo za kitoto hizo na chicks, urembo urembo mwingi, mtu unakuta anaficha mpaka green tick isitokee sasa ili iweje kama sio utoto, kifupi haina feature yoyote ya maana.
 
Tatizo hii inasumbua Back-Up kwenye Drive, haina tuseme tu!

Na wengine kuishi bila kuwa na Back-up ya conversations za nyuma ni hatari sana....

Ila mwisho wa siku sidhani kama ni sahihi mwanaume uliyepevuka kutumia GB Whatsapp inapunguza kuaminiwa na jinsia Ke

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemjibu mleta mada kama alivyohitaji mkuu
WhatsApp yenyewe naingiaga mara moja moja sana
 
Hii ndio nzuri zaidi wanaosema GB whatsapp hawajawahi kutumia nii na siku wakitumia hii gb whatsapp wataisahau milele. Mfano hii ina anti-delete msg yani mtu kaandika msg then akaifuta ila kwako bado ipo kwa gb whatsapp niliyokua natumia kipindi kile option hii haikuwepo sijui kwa sasa

Hii ina options nyingi kuliko GB uzuri nilitumia sana GB kabla sijahamia kwenye YoWhatsapp na tofauti ipo kubwa sana, GB bado kuna vitu vingi haina uki compare na Yo
 
Hii ndio nzuri zaidi wanaosema GB whatsapp hawajawahi kutumia nii na siku wakitumia hii gb whatsapp wataisahau milele. Mfano hii ina anti-delete msg yani mtu kaandika msg then akaifuta ila kwako bado ipo kwa gb whatsapp niliyokua natumia kipindi kile option hii haikuwepo sijui kwa sasa

Hii ina options nyingi kuliko GB uzuri nilitumia sana GB kabla sijahamia kwenye YoWhatsapp na tofauti ipo kubwa sana, GB bado kuna vitu vingi haina uki compare na Yo
Mb 50 mwisho kutuma video GB whatsaap lakini Yoa wao mpaka mb 200 hivyo hivyo kwa picha na kwa audio pia
 
Mimi natumia hii official version ambayo ipo playstore..
Hii GB whatsapp hapana iisèeh maana unakuta mtu anaficha last seen kama vile kuna kitu special kuhusu last seen au mtu anaficha blue tick kama vile kuna tuzo zinagawiwa wakati wakina chenge wako busy kuficha pesa zetu walizoiba

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata hiyo inaficha vizuri tu, mimi last seen yangu siruhusu mtu haione.. Ya nini sasa na uione ili iweje!
 
GB WhatsApp imekaa kikekike kama Instagram na snap chat, wanaume tunatumia official, iyo GB WhatsApp mapambo kibao personalization tumewaachia wadada wafanye make up hadi conversation
Hayo ni maamuzi yenu tu mkuu, swala la kupamba ni mtu hadi uamue kuifanyia personalization, ninacho pendea gb ni anti revoke tu. Mengine yote sijayagusa

Kingine simu inaruhusu namba moja nami ninazo namba mbili hivyo hii inanipa uwanja wa kuwa na whatsapp mbili ktk simu moja kuliko kutembea na mzigo wa simu mbili.

Hizo mbili ndio primary target zangu za kuwa na gb

Aina ya app fulani unayotumia haitoweza kamwe kubadili jinsia yako wala wasifu wako.. Hizo ni propaganda zenu tu.

Cha msingi ni kujua wewe unahitaji nini, kwisha maelezo.
 
Back
Top Bottom