Planner
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 348
- 148
Kwa muda mrefu nimekua mteja mtiifu wa bidhaa zenu. Ila miezi ya karibuni kuanzia mwaka jana mmekua mnafanya mambo ambayo sisi wateja watiifu HATUWAELEWI. Mlianza na kulazimisha kila mtu kunywa vinywaji vya jamii ya Coca (sprite etc) visivyo na sukari, kwa maana ya kua usambazaji ulikua ni more of sugar free huku mki discourage kusambaza zenye sukari.
Naelewa umuhimu wa ku control ulaji wa sukari, ila nachowashangaa ni nani alifanya utafiti akawaambia kila mtu anataka au anatatizo la sukari ili mlazimishe wauzaji wa reja reja wauze aina hiyo tu? Mpaka mlipoona mnakimbiwa ndio mmeturudishia ladha yetu ya asili.
Ni kama hamsomi mchezo kwa watani wenu wa jadi Pepsi, wenzenu wanatoa zote za sugar free/zero na ili wateja tujimwage.
Hamjaishia hapo, mmerudisha za sukari ila muda mwingine ladha haieleweki as compared na coca ya Kwanza au Bonite! nawaambia haya kwa nia nzuri tu mnapoelekea mtaona mauzo vs wapinzani wenu yakoje, sielewi watu wa kitengo cha utafiti na masoko kama mnayo hata namna ya kupata feedback kutoka kwa wateja au mnatuchukulia poa bangosha na vankima.
Endeleeni kukaza shingo mtaelewa nguvu ya soko!