Binafsi
Ninaguswa na matatizo ya Kabendera, kama binadamu, kama Mtanzania, na kama mtu wa kawaida,
Ila nilishasema humu ndani, mwanzoni, kuwa Kabendera, alinikosea hata mimi kama Mtanzania wa kawaida, Siku zote kama nchi tunatafuta kupata milleage kwenye international media, ziongee mazuri...