Naumwa, nataka kuandika wosia, wananishauri niache eti ni uchuro

Kuna jambo moja tu ambalo binadamu ana uhakika nalo hapa Duniani, nalo ni kuwa, kuna siku atakufa.

ushahidi wa kisayansi, kihistoria, kigeografia, kibiolojia na had kikemia,wote unathibitisha kuwa, mwanadamu kufikisha miaka 150 ni mtiti.

So wote tutakufa siku moja, wosia sio uchuro wala sio chochote
 
Gonjwa limekupata shoga!nasemaga mm ht niugur vip dk asinishauri kuacha nyama aisee!sitaweza kbs..shoga pole..ila nacheka balaa mm jaman 🤣🤣🤣zaa haraka haraka ohoo
 
Ukufi kwa Uric Acid buana..
Ila wosia andika sio uchuro wala nini...Wenzetu wanaandika kila uchwao maana hujui utakufa lini na inaondoa makelele kwa ulioowacha nyuma!
Ila uliowaachia wosia usiwaambie!
 
Huo ugonjwa mazazi kapoteza mamilions nimesumbuka zaidi ya Miaka 8 aki ilikuwa mbaya.. Ila now niko good .. Usikate tamaa.. Unaweza kuja Pm
 
Pole, Mkuu umefikisha miaka 45 kwenda juu?
Nimeshavuka, mie huyu hapa pichani!
Mlala ebereshe.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom