Ni kweli wanasayansi wa anga wanaiita venus na dunia ni mapacha maana ina ukubwa sawa na gravitation inayofanana na dunia. Venus ina atmosphere, sema kuna joto kali mno kama alivyosema mleta huzu ila chakuongeza hapa ni kuwa wanasayansi wanasema inawezekana kabla ya hali hiyo kulikua na viumbe...
"Awali, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa barabara nchini(TANROADS) Patrick Mfugale amesema kiwanja hicho kina urefu wa kilometa tatu ambapo kitakuwa na uwezo wa kubeba abiria 200 hadi 300." Hivi TANROADS wanahusika vipi na ujenzi wa kiwanja cha ndege. Nisaidieni hapo kwanza
Dah nawaangalia tu jinsi mnavyotutusi, ila juweni hutukuchagua maombo wakati wa kuzaliwa. Mungu mwenyewe ndio anajua kwanini wewe mrefu na mimi mfupi. Anyway ngoja niwape ukweli kuhusu hawa wanawake, sijawahi kusikia mwanamke akisema anawishi kua na mwanaume mfupi wengi wanatamani kuwa na...
Wiki hii Mhe Magufuli amezindua mradi mkubwa wa ujenzi wa treni Dar- Moro, ambapo inasemekana 100% ya fedha zote zitakazotumika ni za ndani. Mradi huu utatumia takribani trilioni 2.7 (chanzo gazeti la Mwananchi 13apr17 ), sasa naomba kuuliza kwa wale wataalamu wa uchumi je kwa mradi mkubwa hivi...
Masuala kama aya huwa ni ya mtu usika/ binafsi, suala kama rangi, kimo, unene/wembamba kila binadamu huwa na pendekezo lake la yule anayevutiwa nae. Ingawa mtu anaweza kuwa na mtu/ mpenzi mwenye sifa tofauti kabisa ya zile zinazomvutia. Ingawa pia ni kweli mwanaume wengi huvutiwa na wanawake...
Habari wana jamvi, kuna kozi naitaji kusoma na nimejaribu kutafuta ufadhili kwa mwaka wa pili huu bado sijafanikiwa. Scholarship nyingi zinazotoka huwa wanaorodhesha kozi zao wanazotaka kufadhili na hii ninayoipenda mimi haipo. Naitaji kusoma Msc in aircraft incident and accident investigation.
Wapo waliopata ziro wakajiendeleza hao sina tatizo nao, lakini wale waliopata ziro na kupita shortcut ndio mimi nawapinga. Karne hii kuwa na viongozi wanamna hiyo alafu tukategemea twende kwenye uchumi wa kati ni ndoto ya mchana.
Sawa sijui ametumia kipimo gani kupima uwezo wake wakazi, lakini jua kua kiongozi hakuishii kwenye utendaji wako pekee. Wewe unakua kioo unakua mfano, sasa tunajenga taifa gani ambalo litaiga mfano huu. Kupata ziro then kua kiongozi, au unataka kuniambia hakuna kabisa waliopiga shule ambao hiyo...
Sijui hata unataka tuseme nini, anyway naomba ujue kua kuna chama fulani hivi huwa mtaji wao ni ujinga wa watanzania, na hao ndio wametufikisha hapa. Na bado wanaamini Tanzania ya viwanda italetwa na viongozi wenye maziro.
Aahhhaaa hivi wale RITA wanapotoa cheti cha kuzaliwa au kufa unahisi niwapumbavu? Ukikosa cheti cha kuzaliwa sio kwamba hujazaliwa bali cheti hicho ndio kitakutambulisha na kukuwezesha kupata haki fulani fulani. Na ndio maana hata ukienda wapi bila kitambulisho haki zako za msingi huwezi pata...
Kuna watu wanasema eti kuongoza kipaji sio kusoma (vyeti), nani kawaambia ukiwa na kipaji basi huna sababu ya kusoma. Sijui hawamuoni nikki wa pili saivi anatafuta phd? Tungekua nao kina nikki kama 20 hivi kwenye bongo freva ndio wangeelewa. Alafu inauma sana watu wamekomaa sana mchikichini...
Habari ndugu,
Nilikuwa naomba msaada wa taarifa juu ya upatikanaji wa nguo za mitumba za jumla (bale). Naomba kujua mabeli yanapatikana wapi na bei zake zipoje? Nipo interested zaidi na makoti ya suti za kiume na kike pamoja na mapazia.
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.