Msaada tutani nahitaji suluhu hapa

Kaswali kangu kamoja tu kam utamu u nadepend vp kuhusu kubadilisha rangi especial kwa wanawake watumia cream even wanaume kwa hyo akishajichubua utamu utaisha? Ray,wema,diva wale cyo rang zao vp kuhusu hlo
 
Kaswali kangu kamoja tu kam utamu u nadepend vp kuhusu kubadilisha rangi especial kwa wanawake watumia cream even wanaume kwa hyo akishajichubua utamu utaisha? Ray,wema,diva wale cyo rang zao vp kuhusu hlo

Wema hajajichubua mbona ni cream anazopaka
Aliejichubua UK ni Zari
Afu naskia wema ni mtamu kuliko zari
Ray atajuju sijui stori yake
Diva kwakweli naomba hata nisiongee kabisaa staki kuanzisha beef na teams

tanzania ya vi wonder... jumatatu asubuh watu wanawaza utamu utamu
Boob hii topic ya jana usibu bruh! We ndo unaona sasa hivi bruh!

Njoo ukoment boss
 
So it means ukijichubua utamu unaisha,kuna mtu kazungumzia ishu ya kuwa mwanamke mweusi anakuw na joto pia akasem mweupe anakaharufu fulan cyo poa labda tungejua utamu unaozungumzwa unatokana kip haswa mpak mweus akaw the best kuliko mweupe
 
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza ila naomba tusaidiane hii mada hapa

Siku moja nimekaa night Club IT PLAZA HIGH SPIRIT LOUNGE
Nimekaa zangu napunguza stress
Nyuma ya kochi langu kulikuwa na mijeda kama 8 hivi
Wakawa wanabishana

MJEDA WA KWANZA
mwanamke mwenye ngozi nyeupe sio mtamu kama mwenye ngozi nyeusi

MJEDA WA PILI
Mwanamke mweusi sio mtamu kama mwanamke mweupe

MJEDA WA TATU
Mwanamke maji ya kunde ndio mwisho wa matatizo

Baada ya miezi 3 wakanifuata wadada wanalalamika kuwa

DADA WA KWANZA
Wakitembea na wanaume wenye ngozi nyeupe hamna kitu, ladha hamna wamekaa tu kama chapati ya maji (PANCAKE)

DADA WA PILI
Wanaume weusi ndio kila kitu hata wazungu wanasema once you go black, you can't go back to the white

DADA WA 3
Mie ninetembea na wanaume tangi zote 3, mweupe mweusi, na maji ya kunde ila mweusi ndio mwisho wa reli, mtamu kuliko maelezo
Chuma kikikaza kinakaza kweli kweli, chuma cheupe kikikaza kha unaweza lia kama soseji

Kwako wewe msomaji yupi mtamu zaidi ya mwenzake
Msaada tutani ooo
Tuachie comment Abeg
Thank you

Mhmm!!! Naona nimepotea njia.
 
So it means ukijichubua utamu unaisha,kuna mtu kazungumzia ishu ya kuwa mwanamke mweusi anakuw na joto pia akasem mweupe anakaharufu fulan cyo poa labda tungejua utamu unaozungumzwa unatokana kip haswa mpak mweus akaw the best kuliko mweupe

Bro me nadhani wewe ni bikra kama sio mlighalugha! Nisamehe namaanisha mema
Hao walioandika hivyo mafundi babaa
 
Masuala kama aya huwa ni ya mtu usika/ binafsi, suala kama rangi, kimo, unene/wembamba kila binadamu huwa na pendekezo lake la yule anayevutiwa nae. Ingawa mtu anaweza kuwa na mtu/ mpenzi mwenye sifa tofauti kabisa ya zile zinazomvutia. Ingawa pia ni kweli mwanaume wengi huvutiwa na wanawake weupe hivi, mwenye neema za Allah au warefu kwa kimo, na pia wanawake wengi huvutiwa ziadi na wanaume warefu, weusi na mwenye misuli.
Hapa kila mtu atachangia kulingana na maona yake. Binafsi huwa natamani sana wanawake waupe, wembamba kidogo na wenye kimo cha wastani, ila yote kwa yote ni mara chache sana huwa nachagua K maana K ni K tu ukizingatia mimi sina K so y nichague chague.
 
Kwa wale wanawake ambao wameshajichubua mnawapa ushauri gani kama soko now mnaliamishia kwa bleck beauty
 
Binafsi black kwangu ndompango mzima alafu awe giant kidogo na shape ya ukweli apatutaenda sawq
 
Hizi ni myths tu, ni kama ile misemo kuwa eti wazungu(wanawake) hawana ladha, sio kweli kabisa.
 
Bro me nadhani wewe ni bikra kama sio mlighalugha! Nisamehe namaanisha mema
Hao walioandika hivyo mafundi babaa
Na mm nshakutana na mweusi mtamu pia mweupe mtamu na vilevile mweupe kilaza na mweusi kilaza ndo maan nkaanzia mbali kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom