Habari wana jamvi, kuna kozi naitaji kusoma na nimejaribu kutafuta ufadhili kwa mwaka wa pili huu bado sijafanikiwa. Scholarship nyingi zinazotoka huwa wanaorodhesha kozi zao wanazotaka kufadhili na hii ninayoipenda mimi haipo. Naitaji kusoma Msc in aircraft incident and accident investigation.