Kuna nini kwenye Sayari ya Venus?

Kuna nini kwenye Sayari ya Venus?

Lini na sisi tutaanza kuzichunguza hizi sayari?? tusitegemee kila kitu toka NASA.
Mkuu tengeneza telescope yako ya kienyeji uanze kujifunza na kufurahia uumbaji wa Mungu ktk anga

Ukihitaji ujuzi nitakuwekea kwa lugha adhimu kiswahili au kiingereza .
 
dah.si ameahid watakaofuzu watamuona.kwa taarifa yako katika elimu ya uislamu hata malaika wenyewe hawajawahi kumuona.huwa wanafika mbingu ya saba na kuskia maelekezo kutoka kwakeakiwa mbingu za juu zaid ya iyo mbingu ya saba..inasemekana kuna mbingu zaid tatu juu ya zile saba zilizofunikwa kwa pazia la nuru..sasa kama Musa hakumuona na wakati ndiye Nabii aliyeongea na MUNGU live.sisi ni kina nani tudai kumuona MUNGU ???.kufa ukiwa mwema utamuona siku ya kiama.ukifa mbaya ndiyo sahau.hutaweza kukaa naye kwenye meza ya maakuli.shauri yako??
Kukaa meza na bwana ni jambo rahisi kama tukizishika amri zake, ila ametupa akili ya kujitambua ya kujitambua mkuu ukisoma maandiko jaribu kusoma kwa undani ili uelewe zaidi maana Quran ni kitabu kilicho elezea mambo mengi kwa ufasaha tatizo ni waamini kusoma juu juu
 
Mkuu na ujuaji wako wooote unatudirect youtube ambapo hata mtoto anaweza tuma video?

Pole sana kama wadhani mwezini watu hawakufika. Tulipo sasa watu washacheza na mfumo wa Jua letu na wamechoka attention imehama nje ya mfumo wa jua ambapo kuna sayari nyingine zaidi ya billion. Mkuu watu wapo mbali achana na habari za youtube think very big.
Mkuu shida ni uelewa mdogo wa vijana kutokufahamu dunia ilikofikia
 
Mkuu shida ni uelewa mdogo wa vijana kutokufahamu dunia ilikofikia
unaweza ukaona kama ni mihemko ya ujana lakini haya mambo watu wakubwa tuu washayafanyia kazi na video zao zipo u tube.shida wengi mkinunua mabando ya MB mnaishia kuangalia muvi na habari za kuminywa kutoka bbc na cnn.amkeni wazee.watu wako on the ground wakiumiza vichwa kuupata ukweli ila ndo hivyo media na serikali zinawapuuzia..
 
Ni kweli wanasayansi wa anga wanaiita venus na dunia ni mapacha maana ina ukubwa sawa na gravitation inayofanana na dunia. Venus ina atmosphere, sema kuna joto kali mno kama alivyosema mleta huzu ila chakuongeza hapa ni kuwa wanasayansi wanasema inawezekana kabla ya hali hiyo kulikua na viumbe ila mabadiliko ya hali ya hewa ndio yakafanya kusiwe na kiumbe kwa sasa. Kwa kifupi ndio wanasema ndio future ya planet earth after global warming.
 
dah.si ameahid watakaofuzu watamuona.kwa taarifa yako katika elimu ya uislamu hata malaika wenyewe hawajawahi kumuona.huwa wanafika mbingu ya saba na kuskia maelekezo kutoka kwakeakiwa mbingu za juu zaid ya iyo mbingu ya saba..inasemekana kuna mbingu zaid tatu juu ya zile saba zilizofunikwa kwa pazia la nuru..sasa kama Musa hakumuona na wakati ndiye Nabii aliyeongea na MUNGU live.sisi ni kina nani tudai kumuona MUNGU ???.kufa ukiwa mwema utamuona siku ya kiama.ukifa mbaya ndiyo sahau.hutaweza kukaa naye kwenye meza ya maakuli.shauri yako??
Duu!! Nimependa hii comment natamani uweze kuelezea tena na tena mkuu.
 
unaweza ukaona kama ni mihemko ya ujana lakini haya mambo watu wakubwa tuu washayafanyia kazi na video zao zipo u tube.shida wengi mkinunua mabando ya MB mnaishia kuangalia muvi na habari za kuminywa kutoka bbc na cnn.amkeni wazee.watu wako on the ground wakiumiza vichwa kuupata ukweli ila ndo hivyo media na serikali zinawapuuzia..
Ni kweli tatizo inchi zenye shida tuna njaa hadi kwe akili ndio tatizo kubwa
 
Back
Top Bottom