Waziri Mbarawa aweka jiwe la msingi ujenzi Uwanja wa Ndege Chato. Kuligharimu Taifa Sh. Bilioni 39

Chato chato chato ooo ,billion 39.15 kwa ajiri ya kuhudumia wananchi 200-300?

Mi HKL sikusoma hesabu lakini ....!?

Wanamahesabu wa Dunia walikosea
 
Sukuma empire

Nadhani hii ni atua ktk maendeleo.
MWANZA NI mji mkubwa tunahitaji uwanja wa ndege.
SI Maendeleo ya JMP ni kwa watanzania wote
NA NI BORA KULIKO WALIOKUWA WANAGAWANA Pesa zote(mafisadi) huku hawajengi hata CHOO.
tubadilike TUSIWE WACHAWI (kwan 99.9% ya watanzania wachawi. NA UCHAWI MKUBWA hatupebdi watu wanaofanya vizuri ktk maisha yao kama JPM. na uchawi mwengine ni MIDOMO
 
Du! mpaka mwenyewe amejistukia na kujiona mjinga!!
Mchakato wa hii issue ameipiga enzi akiwa Waziri na sidhani kama alitegemea angekuwa mkulu wa nchi hivyo lawama asingezipata yeye lakini Mungu si Athuman zama zimebadilika mara paaa amekuwa mkulu inabidi aone so kuzindua. Ameanaza kujipanga siku nyingi, rejea ile barabara ambayo enzi zile haikuwa chini ya TANROAD lakini ilijengwa kwa kiwango cha lami kuelekea kule (enzi hizo haikuwa makao makuu ya wilaya) na ndio ikafuata ile ya kuingia makao makuu ya wilaya Biharamulo
 
Nadhani hii ni atua ktk maendeleo.
MWANZA NI mji mkubwa tunahitaji uwanja wa ndege.
SI Maendeleo ya JMP ni kwa watanzania wote
NA NI BORA KULIKO WALIOKUWA WANAGAWANA Pesa zote(mafisadi) huku hawajengi hata CHOO.
tubadilike TUSIWE WACHAWI (kwan 99.9% ya watanzania wachawi. NA UCHAWI MKUBWA hatupebdi watu wanaofanya vizuri ktk maisha yao kama JPM. na uchawi mwengine ni MIDOMO
Huo ni wa Chato mkuu kuweka record sawa...by the way nimependa comment yako
 
Iv kuna mbuga za wanyama au kivutio chochote cha utaliii???!!!!! Mmmmmmmh hana washauriiiiiii nachoona kwa sasa tumwache tuuuuuu afanyeeemadudu yake
Yap kuna hifadhi ya kisiwa cha Rubondo labda anataka kusaidia kukuza utalii wake
 
Nadhani hii ni atua ktk maendeleo.
MWANZA NI mji mkubwa tunahitaji uwanja wa ndege.
SI Maendeleo ya JMP ni kwa watanzania wote
NA NI BORA KULIKO WALIOKUWA WANAGAWANA Pesa zote(mafisadi) huku hawajengi hata CHOO.
tubadilike TUSIWE WACHAWI (kwan 99.9% ya watanzania wachawi. NA UCHAWI MKUBWA hatupebdi watu wanaofanya vizuri ktk maisha yao kama JPM. na uchawi mwengine ni MIDOMO
Wewe ni fala mkubwa kama uchawi unao wewe kwani hao unaowaona wanajenga viwanja vya ndege vijijini hawagawani pesa za Umma? Ununuzi wa ndege, ujenzi wa Reli na ujenzi wa uwanja kuna 10% za Maliyamungu Bashite na Mtukufu na wenzao wizi upo pale pale kuna pesa inachukuliwa kienyeji kwenda kwa Lipumba wanagawana na hao boss zako bora asiyejenga choo kuliko kuacha kujenga viwanja vya miji mikubwa kama Tanga moro Musoma Tabora mtwara mnaenda kujenga kiwanja vichochoroni tena bila Bunge kuidhinisha pesa
 
ACHA matusi "inaonyesha uwezo wako wa akili"
PILI MWAnza ni mji mdogo?.
TATU: miji mingapi mikubwa (nakusaidi) DAR--MWANZA, ARUSHA.nk
NNNE Huwezi kujenga nchi zima siku moja unaweka vipaumbele kwanza
TANO kuna miji haingizi pato kubwa ktk nchi itafanyiwa kazi baadae
MWISHO: MASIKINI wa akili ni mbaya kuliko wa mali WATCH YOUR MOUTH
 
Mchakato wa hii issue ameipiga enzi akiwa Waziri na sidhani kama alitegemea angekuwa mkulu wa nchi hivyo lawama asingezipata yeye lakini Mungu si Athuman zama zimebadilika mara paaa amekuwa mkulu inabidi aone so kuzindua. Ameanaza kujipanga siku nyingi, rejea ile barabara ambayo enzi zile haikuwa chini ya TANROAD lakini ilijengwa kwa kiwango cha lami kuelekea kule (enzi hizo haikuwa makao makuu ya wilaya) na ndio ikafuata ile ya kuingia makao makuu ya wilaya Biharamulo

Mkoa uliotoka kuna nini cha maana ZAIDI uswahili, uchawi, no elimu, umbeya.ujinga, matusi, wavivu... hakuna HAJA YA KUPEWA KIPAUMBELE SASA ......
 
"Awali, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa barabara nchini(TANROADS) Patrick Mfugale amesema kiwanja hicho kina urefu wa kilometa tatu ambapo kitakuwa na uwezo wa kubeba abiria 200 hadi 300." Hivi TANROADS wanahusika vipi na ujenzi wa kiwanja cha ndege. Nisaidieni hapo kwanza
 
Mkoa uliotoka kuna nini cha maana ZAIDI uswahili, uchawi, no elimu, umbeya.ujinga, matusi, wavivu... hakuna HAJA YA KUPEWA KIPAUMBELE SASA ......
Rock city mkuu nadhani kuna vya maana vingi sana hata kabla ya serikali kujenga barabara ya Mwanza to Dodoma kwa kiwango cha lami tulikuwa tunakula maziwa na asali kwa juhudi zetu mpaka miaka hii ya karibuni enzi za Mkapa ilipotukumbuka kwa kutujengea barabara za lami kutoka Nyanguge mpaka katikati ya mji na kutoka katikati ya mji mpaka airport (nadhani jibu la mkoa ninaotoka nimekupa sijui wewe mkoa wako uliotoka una maendeleo gani zaidi ya MAJIBU YA KIMAMA KAMA MUIMBA TAARABU)...JF ni kwa ajili ya kubadilishana mawazo kulingana na uwelewa wa mhusika hivyo na wewe kwa kuwa una akili za kichawi ndio maana unatuma msg za kichawichawi badala ya kunirekebisha kistaarabu...wewe ndio upo kama mkulu kwamba unachowaza wewe ndio sahihi
 
Back
Top Bottom