Inawezekana pia ikasababishwa na minyoo wengi tumboni. Sumu wanayotoa inasababisha ngozi kuwasha ktk baadhi ya maeneo ya mwili na ukijikuna hali ndio inakuwa hivyo
Ninayo sumsang niliitumia kama miaka 4 hivi. Baadae haikutumia kama miezi mitatu. Nilivyokuja kuiwasha ikawa haitoi picha vizuri kama ina ukungu ndani sijui tatizo ni nini.
Nadhani kuna haja ya kuipa muda Serikali katika jitihada zake za kufufua ATCL. Tukianza ku-criticise sasa hivi hata operation zenyewe shirika halijaanza tutakuwa hatuwatendei haki watawala. Maana hakuna mwenye uhakika kama approach waliyoitumia kulifufua shirika itakwama pasipo kuwapa muda...
Kinachotakiwa sasa ni transition kwa serikali kuacha kuwa ndio mlaji mkubwa wa huduma za sector binafsi kama hotel n.k kwenda kwa watu binafsi. Kwa maana nyingine serikali iangalie namna ambavyo itaongeza mzunguko wa fedha kwa mtu mmoja mmoja ili kuendelea kui support sector binafsi. Moja ya...
Ujenzi ni safari ambayo huwa haina mwisho ukiianza. Hata ukimaliza finishing bado huwa kuna marekebisho ya hapa na pale provided kwamba mfuko unaruhusu. Lakini pia muda unavyozidi kwenda nyumba nayo inachakaa na inahitaji marekebisho madogo madogo. Hivyo suala la kufanya maamuzi na kuinua boma...
Mkuu Ushirombo hebu tupe hiyo elimu ya mashimo ya choo tufaidike wote. Watakayovutiwa nayo watakutafuta na si mtoa uzi pekee. Hiyo ndio faida ya kushiriki uzi kama huu. Watu wanapeana elimu na kubadilishana ujuzi:)
Kuna wimbi la vijana wengi mtaani wasio na kazi. Wengi wao aidha ni kutokana na kufeli masomo shuleni na wengine ni kukosa fursa za kufanya kazi. Nguvu kazi hii ni kubwa na ni hasara kwa serikali ikiiacha ipotee. Lakini pia utakuwa ni mzigo kwa Serikali siku zijazo. Tukumbuke kuwa idadi kubwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.