Njoo tujadili ufundi wa vifaa vya umeme kama vile tv,redio n.k

pex

Member
Nov 20, 2009
57
95
Flat screen yangu sijaitumia muda...nimeiwasha hivi majuzi inaonesha kama kuna ukungu ndani ya kioo. Msaada wadau!
 

LALIKA NICOLAUS

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
500
1,000
Naomba kujuzwa kazi za miguu(pins) ya flyback transformer(FBT) kwenye tv za chogo

Unachotakiwa kukijua ni kwamba FBT ni transformer. Hivyo hiyo miguu yake(pins), miguu miwili ni lazima iwe kwa ajili ya input voltage na mingine inayobaki ni kwa ajili ya output voltages ambazo huenda sehemu mbalimbali katika tv circuit tayari kwa matumizi mbalimbali.
NAWASILISHA
 

NileSat

JF-Expert Member
Mar 31, 2015
340
225
mi naomba kujua kanuni ya kutafta watt
Mkuu Watts katika AC au DC power source? Ok nianzie katika DC ukichukua Voltage na Current ukazidisha utapata Power in term of Watts, Katika AC watts hio tunaita True au active power kuipata lazima uconsider Power factor ya system Utachukua PF UTAZIDISHA NA PRODUCT YA CURRENT NA VOLTAGE, Ukichukua V times I katika AC utapata Apparent Power katika kizio cha VA yani volts ampere. Power ktk ac ni complex kuwa determined kwa vile tu I na V hushift ktk angle zake due to capacitance na Inductance ya Ac tofauti na Dc ambayo iko stable
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom