Siku zote ni rahisi kusema kuliko kutenda. kukosoa ni kukosoa tu haijalishi uko ndani au nje.Bashe aliona wenzake wanakosea naye hakuwa na subira, sioni kwanini hawa wanaomkosoa sasa wao wasubiri.
Maoni yake ni mazuri masikioni lakini kuyatenda au kuyapa uhalisia sio kazi rahisi. Wanasema mchawi mpe mwana akulelee, kapewa amlee sasa.
Watanzania wote hatuna subira, tunataka matokeo overnight, au haraka zaidi ya sasa(now).
Akikosolewa ni sahihi sio kwasababu yeye alikosoa, bali mengine yana mjenga na kumpa uelewa wa kuchagua approach gani aitumie. Wananchi kama yeye alivyo wanaona wamechelewa tayari, wanataka hizo changes yesterday.
Hatujali itazitoa wapi na lini, tunataka mabadiriko hayo, nijuu yake sasa ku transform idea zake into reality kwa speed ya radi.
Binafsi naona Magufuli alichelewa sana kumpa nafasi hii, ilipaswa ampe mapema ili akishindwa ku deliver akae kimya kabisa.