Msaada: Mpenzi wangu ananuka kinywa

Msaada: Mpenzi wangu ananuka kinywa

Mwambie aache kukushika mike na kuimba aka kula koni ndo kunakosababisha harufu kali ya kinywa.

Tena kama na yeye ameanza kamchezo ka kukuramba mstari wa ikweta ati kwa dhumuni la kukupa mautamu mwambie aache kabisa ndo matokeo anakuwa kama kameza kipisi cha nnya.

Mautamu yote yako kwenye kaateerreeeroooo hapo mkimaliza wote mko chalii hooiiii asubuhi mnanyweshana maji tuu.

Kasie Matata.
we mnyamwezi umelaaniwaaa
 
Tuko school jamaa kaleta tatizo akapewa suluhisho na mdau mmoja kua ampe hints juu ya hilo swala, hivyo zawadi ziwe dawa ya meno, miswaki, mouthwash n.k.

Yule jamaa akampelekea demu wake colgate kubwa nusu dazeni, miswaki dazeni na manual ya namna ya kupiga mswaki siku ya birthday.

Baada ya wiki anakuta zawadi ziko vilevile, binti kaulizwa vipi akajibu nimeamua kutunza kumbukumbu mpenzi wangu.
 
Mpeleke kwa dentist. Unaweza kuta ni sababu ya meno kutoboka.
 
Tatizo kubwa letu sisi Watanzania hatuendi kusafisha meno kwa dentists. Mara mbili kwa mwaka itasaidia kutoa ukungu wa meno na bacteria wa kinywa. Mkuu kama unampenda mpeleke akasafishe meno, mtoto mzuri hawachwi kwa kosa hilo.
Ni shilingi ngapi mkuu?
 
Chukua mswaki Mkuu kisha mwambie akenue na uanze kumpiga mswaki kinywa chote kwa kituo. Usisahau kumsafisha ulimi pia vizuri. Ukimaliza kama bado kinywa chake kinaleta basi kuna tatizo hivyo inabidi mkamuone mtaalam wa vinywa.

Mwaka unaishia ila kunajambo linanikwaza hadi natamani nisiuvuke mwaka.
Jambo lenyewe nimedumu ktk mahusiano na binti ambaye Mungu ameonesha ufundi wake ila ANANUKA kinywa.
Je, nifanye nini tatizo liishe niendelee kufaidi utamu wke?
Nikimwacha naona km nakufuru uumbaji wa Mungu.
Wajuzi mnisaidie
 
Hapa nasogea pande za makumbusho eti kuna dentist
 
Tatizo dogo sana hilo.Mtafutie dawa ya meno ya "Forever".Awe anatumia kutwa mara tatu,hasa anapomaliza kula.Kama kauwezo kapo,awe analamba mara kwa mara. Miezi mitatu ndo mda mrefu wa tatizo hilo kuisha kabisa.
Hii dawa nimeelekeza jama zangu wawili,na kwa sasa kila demu wanatia timu,huku mwanzoni walikuwa hata darasani hawataki kukaa na mtu
 
Mwambie azingatie usafi. Asafishe kinywa kila baada ya kula
 
aanze dozi ya mdalasini, aushemshe ule wa magome wa india anywe kutwa mara mbili au tatu mwambie ni tiba ya magonjwa mengi, ukiona maendeleo mazuri, aswaki kwa wiki mara moja na baking soda, asugue ulimi apendelee mtindi na vitu vichachu kula
 
Mwaka unaishia ila kunajambo linanikwaza hadi natamani nisiuvuke mwaka.
Jambo lenyewe nimedumu ktk mahusiano na binti ambaye Mungu ameonesha ufundi wake ila ANANUKA kinywa.
Je, nifanye nini tatizo liishe niendelee kufaidi utamu wke?
Nikimwacha naona km nakufuru uumbaji wa Mungu.
Wajuzi mnisaidie
Unakufuru uumbaji wa mungu?
Mungu ametupa akili ya kujihudumia wenyewe kwahyo swala la huyo demu kunuka mdomo ni kosa lake

Me demu akinuka K tu namwambia kua (usafi ni hafifu mama naomba uongeze usafi huku me napenda kunyonya sasa naanzaje kunyonya kwa pigo hizi?)

Mchane ukweli
 
Tatizo hili linawasumbua sana watu sijui why?
Harufu ya kinywa ni bora kikwapa aiseee maana huwezi piga perfume mdomoni
 
Tuko school jamaa kaleta tatizo akapewa suluhisho na mdau mmoja kua ampe hints juu ya hilo swala, hivyo zawadi ziwe dawa ya meno, miswaki, mouthwash n.k.

Yule jamaa akampelekea demu wake colgate kubwa nusu dazeni, miswaki dazeni na manual ya namna ya kupiga mswaki siku ya birthday.

Baada ya wiki anakuta zawadi ziko vilevile, binti kaulizwa vipi akajibu nimeamua kutunza kumbukumbu mpenzi wangu.
 
Mwambie aache kukushika mike na kuimba aka kula koni ndo kunakosababisha harufu kali ya kinywa.

Tena kama na yeye ameanza kamchezo ka kukuramba mstari wa ikweta ati kwa dhumuni la kukupa mautamu mwambie aache kabisa ndo matokeo anakuwa kama kameza kipisi cha nnya.

Mautamu yote yako kwenye kaateerreeeroooo hapo mkimaliza wote mko chalii hooiiii asubuhi mnanyweshana maji tuu.

Kasie Matata.
we kibokoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom