njeeseka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,374
- 985
Mimi nina Samsung serie 5 inchi 40 ina miaka 3 ila kuna mistari imeanza kwa chini kulia, horizontally...sijajua ni nini ila inaonyesha vizuri hiyo michirizi kwa mbali inakeraYa kwangu Samsung led TV flat screen 48 inches iliweka mistari katikati ikawa haionyeshi picha ni sauti tu nimeiweka stoo tu nilirudisha dukani ilikua na guarantee walinizungusha Mara subiri tuitengeneze, Mara tumeagiza sijui mkanda Dubai, Mara leta 900 tuagize screen hii umepasua! Ndo maana wino unamwagika duh! Hadi nikaamua kuichukua na kuiweka store.