Recent content by Pesaa

  1. P

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi 8 wapya

    Kipindi kile wote hao wangekuwa Wagala. Na usingesema kitu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

    Wewe ni mtu kama wa tatu kumsikia akisema hivi!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    umecheki kwenye akaunti yako hakuna info zozote?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    punguza hasira kijana. una uhakika gani tamisemi na wizara utapata? Sali sana uongeze imani yako kwa mungu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    una uhakika na hiki ulichosema hapa?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mmmh kwa hiyo halmashauri walipata wapi namba ya jamaa yako?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    mkuu upo taasisi gani?
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    "Katika swali la msingi Mbunge huyo ameuliza iwapo Serikali haioni umuhimu wa kutoa kipaumbele cha ajira kwa vijana wanaojitolea kutumikia Taifa katika kada mbalimbali za utumishi pindi nafasi za ajira zinapotolewa." Wakiuchukua huu ushauri, upendeleo utaongezeka. kwa maana nafasi za kupata...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wameitwa wangapi hadi sasa kada yako?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Jiandaeni kwa mkeka mrefu sana
  11. P

    JamiiForums Tanzania Job Application FAILED

    Mkuu, ishu yako inatatulika tu. WAPIGIE SIMU, waombe wafute cheti cha Masters. wengi wamefanya hivyo na mambo yamekuwa poa.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Usije kulalamika humu utakapofanya interview wakakuchinjia baharini!
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ameondoka na file lake :D :D
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Yaani kuhusu hili unataka ushauri kijana? hakuna kazi ya uhakika ya mkataba. HAKUNA! Usichezee bahati.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kwanza tufahamu, PSRS hawaajiri hadi wapewe kibali, sasa kama kibali cha ajira 1700 hawajapewa wataajiri nini? kauli zingine ni siasa tu
Back
Top Bottom