HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Haitosumbua kwa sababu ili uwe mtumishi wa umma ni lazima uwe na check No. So kama bado hujapata Check No we endelea kupiga interview tu Mzee baba wala haina shida
Afu wewe si ulikuepo kwa ule uzi wa tamisemi wa mwaka jana?? 😃😃

eniwei i think you will impose positive vibe here


Ila kwa hii thread hatupendi ugomvi, matusi so kila.la heri mkuu
 
Afu wewe si ulikuepo kwa ule uzi wa tamisemi wa mwaka jana?? [emoji2][emoji2]

eniwei i think you will impose positive vibe here


Ila kwa hii thread hatupendi ugomvi, matusi so kila.la heri mkuu
Hakuna ugomvi wala matusi humu, bado wote ni wasaka mirija hatujafika Mkuu, na hata kama tungekuwa tumefika bado tuna jukumu la kuwapa morali wenzetu
 
Hakuna ugomvi wala matusi humu, bado wote ni wasaka mirija hatujafika Mkuu, na hata kama tungekuwa tumefika bado tuna jukumu la kuwapa morali wenzetu
Yes ni kweli

Ila kule kwa ile thread ulikua unatukana sana na kina Mpwayungu so nikasema usilete hizo tabia huku

Am sorry kama nitakua nimekuboa but i have to say this
 
Leo ndgu makofia360 haupo eneo la kunasa info?? Utupashe nn kitajiri baada ya Leo watu kuramba asali, au ndo tukale kwanza Eid? Tuna miwasho sana na kuchelewa kwao Hawa jamaa utumishi.
 
Kutokana na hizi pdf za LGA & MDA.. nime-experience kuwa ukiona tangazo la kazi utumishi ambapo Mwajiri ni LGA & MDA basi fahamu kuwa 99% ni LGA(local gvt Authority) tu na si vinginevyo... Ni wachache sana wanaweza kupelekea MDA...

Wale wasiopenda Halmashauri kwa kweli hapo hamna namna watu wanadropiwa huko Mawilayani
mawilayanii
 
Kama kwel unajua mtumishi wa halmashaur na WA wizara Kwa kiwango kilrkile Cha elimu naomba unpe tofauti
Mishahara ni Ile ile tu! Nahisi huko wizarani Wana Posho Posho kadhaa ndio maana ni kawaida kukuta Accountant wizarani anaendesha Discovery 3,4,2 lakini ni vigumu sana kukuta Accountant wa halmashauri anaendesha Discovery 3 4 nk
 
Back
Top Bottom