HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi tetesi hizi ni za Kweli!!!!Tra wamepewa mamlaka ya kuajiri yenyewe au bado Utumishi wanaendelea....

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Umesikia wapi? Miaka ya nyuma kidogo tra walikua wanaajiri wenyewe, walikua wanatoa tenda kwa vyuo vikuu na NBAA kufanya mchakato mzima wa ajira, mfano Mzumbe ya Dar na Tumaini ya Dar washafanya sana michakato ya interview kwa niaba ya tra
 
Hivi kama tamisemi wanaweza kutoa ajira 21000 huko na kuajiri woote kwa mkupuo tattizo mini kwa utumishi wanatangaza ajira 1905 za mda and LGA ila kuajiri inakuwa kazi ngumu sana kiukweli sijapenda kabisa kuna utofauti mkubwa sana kati ya tamisemi na utumishi in term wanavyotoa ajira na wanavyoajiri natamani kulia
 
cha ajabu zilivyotoka ajira 1905, tuliziona nyingi balaa. kiukweli gavoo inaipa kipaumbele sekta ya elimu na afya.

huku kwingine ni mwendo wa kudonoa donoa tu
 
Ndo ivo mkuu huku kwengine ni mwendo wa choo cha mbuzi,1769 tu hao imekua ishuu nzitoo
hii secretariat ya Ajira sidhani kama bajeti ijayo itapewa mamlaka ya kuajiri kama awali, na uhakika bajetii hii wao watakua thirdparty tu kwenye mchakato ,kiburi chao kwisha. pdf ya watu 1700 kwao imekua ishu na ndio itakayo wachimbia kaburi lazima waelewe kila taasis inafanyiwa auditing madhaifu yao hayawezi vumilika.
 
Wanajenga jengo jipya la nn la kuwakanda wasail!!!hapo wanachezea kodi za watanzania bure...

Mimi mtazamo wangu naona kutakuwa na mabishano ya kimaslah kati ya Utumishi na Taasisi inayohitaji mwajiriwa. Cha Msingi Bunge libadirishe sheria wapewe mamlaka zaidi Utumishi kwenye maamuzi yote ajira hapo patakuwa wamefunga tofauti zao !!!Report zima za CAG zitupe lawama utumishi

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ni tetesi...

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app

Kwa sheria gani??
IMG_5632.jpg
 
Watu 1700 miezi 2 sasa wanajishauri tuachie au tuendlee kutoa kama choo cha mbuzi 😅😅
Kwanza tufahamu, PSRS hawaajiri hadi wapewe kibali, sasa kama kibali cha ajira 1700 hawajapewa wataajiri nini? kauli zingine ni siasa tu
 
Kwanza tufahamu, PSRS hawaajiri hadi wapewe kibali, sasa kama kibali cha ajira 1700 hawajapewa wataajiri nini? kauli zingine ni siasa tu
Kama ni siasa basi wanachofanya ni utakatishaji fedha za Umma kwenye Wizara...Uwezi kuita waandishi wa habari kwenye Wizara alafu ukaongea siasa(mfano kama leo alichofanya Tamisemi useme ni siasi kwel...)...
Aseme Wazir mdomo umeteleza kupangiwa kazi ndani ya mwezi wa pila lengo lake labda ilikuwa ni mwezi wa saba mwaka mpya wa Budget....

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom