Vijana tunateseka tu kwa mawazo kumbe barua zetu zipo,tatizo ni utumishi wao kutoa majina kwa mwendo wa kinyongaHii issue imemtokea mshkaji wangu mwaka jana, majina katika nafasi aliyofanya usaili yalitoka mapdf kama mawili ya nafasi hiy hiyo ila jina lake halikutoka, baada ya siku kadhaa anapigiwa simu na afisa utumishi wa halmashauri husika akimuuliza mbona haujaripoti mpaka sasa, alichofanya kesho yake ni kusafiri mpaka Dom akaemda masijala ya psrs akapnyesha kitambulisha akapewa barua yake ya kupangiwa kituo cha kazi na akaripoti fresh anaendelea na kazi
Tatizo ni lao PSRS huwa majina yanamiss, sasa hapo umekutana na HR ambaye ana roho nzuri mpaka anakupigia simu kukuuliza, fikiria kuna wangapi ambao hawajapigiwa simu? Kuna rafiki yangu yeye jina halikutoka kwenye pdf ilipita miezi 2 baadae ndugu yake anaenda posta kucheck anakuta barua ya jamaa katumiwa na psrs akamkabidhi jamaa akachanganyikiwa anafikiria sijui kama atapokelewa ila akaenda hivyo hivyo kuripoti bahati nzuri akapokelewa na mpaka leo yapata miaka 6 anendelea na kaziVijana tunateseka tu kwa mawazo kumbe barua zetu zipo,tatizo ni utumishi wao kutoa majina kwa mwendo wa kinyonga
Dah inakatisha Tamaa sana hii, kwanini wanakuwa ivyo, maswali je ni uzembe wa IT au? Au ni sijui nihitaje hii Hali...why coz wengi wanategemea kuona majina yao kweny pdf, na asilimia kubwa tunaamin pdf Kwanza, na hii nadhan ni makusudi ili waweze kupenyeza watu woa wanaowajua, nawapongeza sana hao HR ndo uzalendo huoVijana tunateseka tu kwa mawazo kumbe barua zetu zipo,tatizo ni utumishi wao kutoa majina kwa mwendo wa kinyonga
Nafasi za MDA&LGA walizotoa mwezi wa nne baadhi yake pia zilitoka mwezi wa pili mwaka 2022, hizo bado hazijafanyiwa interview.Wakuu niaje ,, hv zile nafasi za LGA&MDA walizotoa mwezi wa nne ,, washaitwa interview ama
Natamani wale watetezi wa pspr waisome hii textJana Kuna jamaa kapigiwa simu toka halmashauri x na HR akimuuliza mbona hujaja kuripoti?wakati huo huo Secretariat ya ajira hawajatoa PDf likiwemo jina lake,sasa leo alivyofika tu pspr kuchukua barua,wakamuuliza jina na anwani,akataja wakampa barua yake,vile anataka kuondoka wakamwambia aifungue kwanza,akaisoma akakuta ni kituo kile kile alichopigiwa simu,barua inasoma tarh 13/3/2023,halichokosea akaanza kuwalaumu kwanini PDF hawatoi mpk anapigiwa simu,walivyosikia tu hivyo,wakataka kumyanganya barua,wakamtishia mpk kumuweka ndani,Ila akagoma kutoa barua akasepa zake[emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi huwa najiuliza: Ukiwa shortlisted PSRS wanakupa taarifa kwenye akaunti yako ya recruitment portal. Sasa kwa nini ukiitwa kazini wasikuarifu pia? Na kwa nini wasikutumie hiyo barua kwa email pia? Yote hiyo ni kutafuta nafasi watakazozipoteza watu kwa kutokupata taarifa kwa wakati ili wapenyeze watu wao.Dah inakatisha Tamaa sana hii, kwanini wanakuwa ivyo, maswali je ni uzembe wa IT au? Au ni sijui nihitaje hii Hali...why coz wengi wanategemea kuona majina yao kweny pdf, na asilimia kubwa tunaamin pdf Kwanza, na hii nadhan ni makusudi ili waweze kupenyeza watu woa wanaowajua, nawapongeza sana hao HR ndo uzalendo huo
Kwann wasitujurishe kwa email au account zetu PSRS...Vijana tunateseka tu kwa mawazo kumbe barua zetu zipo,tatizo ni utumishi wao kutoa majina kwa mwendo wa kinyonga
Mmmh kwa hiyo halmashauri walipata wapi namba ya jamaa yako?Jana Kuna jamaa kapigiwa simu toka halmashauri x na HR akimuuliza mbona hujaja kuripoti?wakati huo huo Secretariat ya ajira hawajatoa PDf likiwemo jina lake,sasa leo alivyofika tu pspr kuchukua barua,wakamuuliza jina na anwani,akataja wakampa barua yake,vile anataka kuondoka wakamwambia aifungue kwanza,akaisoma akakuta ni kituo kile kile alichopigiwa simu,barua inasoma tarh 13/3/2023,halichokosea akaanza kuwalaumu kwanini PDF hawatoi mpk anapigiwa simu,walivyosikia tu hivyo,wakataka kumyanganya barua,wakamtishia mpk kumuweka ndani,Ila akagoma kutoa barua akasepa zake😁😁😁
Hapo ndipo ujue kuwa mapambano mliyonayo si ya kitoto! Inabidi Mungu aingilie kati!!Kwann wasitujurishe kwa email au account zetu PSRS...
Mungu tusimamie maana tunapopita vijana ww wajua.....
Waajiri hupewa taarifa ya waliopita usaili na particulars zao kama zilvyo kwenye akaunti zao kabla PSRS haijatangaza matokeoMmmh kwa hiyo halmashauri walipata wapi namba ya jamaa yako?
Inamaana ndani ya PSRS kunasitofahamu kubwa sana...maana siri ya mwajiriwa wanayo wao imekuaje imetoka nje ya kitengo chao....Hapo ndipo ujue kuwa mapambano mliyonayo si ya kitoto! Inabidi Mungu aingilie kati!!
Hapa IT anahusika, ili swali la kwanini utumishi wanachukua Mda mrefu kutoa placement nadhan wengi sana wanahusika, anzia uyo katibu mkuu, mpaka mlinziKwann wasitujurishe kwa email au account zetu PSRS...
Mungu tusimamie maana tunapopita vijana ww wajua.....
una uhakika na hiki ulichosema hapa?Waajiri hupewa taarifa ya waliopita usaili na particulars zao kama zilvyo kwenye akaunti zao kabla PSRS haijatangaza matokeo
Ndo tuliokuwa tunasema humu kwenye panel ya oral wanawowakanda wanaenda majina ya watu mfukoni.....Waajiri hupewa taarifa ya waliopita usaili na particulars zao kama zilvyo kwenye akaunti zao kabla PSRS haijatangaza matokeo
Wewe kijana taratibu za kuajiri mtu hujui?kabla hata pdf halijatoka, utumishi wanakuwa wamewatumia hiyo halmashauri information za mwajiri mpya atakayekuja,huonagi ukienda interview kila kitu sain na andika no ya simu,so taarifa zako zinatangulia kabla yako,wanatumia online process kutuma,sio Kama zaman mpk posts,ingekuwa mtu unaenda kabla ya taarifa kufika halmashauri,watu c wangeshaenda na barua feki kuripotMmmh kwa hiyo halmashauri walipata wapi namba ya jamaa yako?
Wewe unajua unaenda tu kabla ya mwajiri kupata habari? Sasa Kama mwajiri aliomba apelekewe watu so watashindwa vipi kumjibu kwa kumtumia majina ya hao watu?alafu wasiporipoti mwajiri anajuaje na kutoa vipi sasa taarifa utumishi?vitu vya government ni chain baba,haviendi kienyeji tuuna uhakika na hiki ulichosema hapa?
Hata barua unayopewa na PSRS ya kuitwa kwenye ajira hutolewa nakala kwa mwajiri. Na huwa imeandaliwa mapema sana kabla ya kutangazwa. Kwa mfano walioitwa april barua zao zinaonesha ziliandikwa tangu march 2023 na zikanakiliwa kwa mwajiri. Ndiyo maana mwajiri kama siyo mtata, hata ukiripoti bila barua ya PSRS lakini una kitam,bulisho na vyeti vyako unavyo, anakupokea tu maana taarifa anayo tayari. Barua na mkataba wa ajira hutolewa na mwajiri na si PSRS.una uhakika na hiki ulichosema hapa?
Kuna hoja hapa :Wewe kijana taratibu za kuajiri mtu hujui?kabla hata pdf halijatoka, utumishi wanakuwa wamewatumia hiyo halmashauri information za mwajiri mpya atakayekuja,huonagi ukienda interview kila kitu sain na andika no ya simu,so taarifa zako zinatangulia kabla yako,wanatumia online process kutuma,sio Kama zaman mpk posts,ingekuwa mtu unaenda kabla ya taarifa kufika halmashauri,watu c wangeshaenda na barua feki kuripot
Kuna hoja hapa :
1.Utumishi wakigoma kutoa kibali cha ajira inakuaje kama unawapa taarifa mapema halmashauri kabla ya kibali?nn kinatokea
2.Faida ya barua ya kuitwa kazini wanayotoa PSRS ni ya nn kama wameshawajulisha halmashauri?
Tuendelea kulia mbele za Bwana kuna Mengi yatasemwa....