HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ndugu zangu tunaokosa tusife Moyo huenda zamu yetu haijafika bali tufunguo mioyo yetu kufurahia mafanikio ya wenzetu maana Mungu ndio anajua mahitaji yetu
 
Huenda ni kweli tuna imani kuwa tumefanya vizuri interview zetu lkn tuwe na subira na moyo wa kukubali matokeo.Maisha hayawezi kuwa sawa siku zote.
Naomba pia tuwe na kumbukumbu,pdf ndio zinasonga hivyo na idadi inapungua japo naona ni L bila M (DA's) hivyo tuwe na kumbukumbu tusije toa lawama kwa PSRS.
Tuendelee kuungana pamoja tu kuhusu ucheleweshwaji huu ila kila jambo liende kwa uharaka na uhalali.

Nb:tuendelee kupigia makofi washindi bila chuki hadi zamu yetu ya kushinda itakapofika(hata benzema alifanya hivi kwa Ronaldo)
 
Kwan tofauti ya kufanya kazi wizarani na halmashaur ni ipi Kwan mshahara SI kutokana na kiwango chako Cha elimu?
Kutokana na hizi pdf za LGA & MDA.. nime-experience kuwa ukiona tangazo la kazi utumishi ambapo Mwajiri ni LGA & MDA basi fahamu kuwa 99% ni LGA(local gvt Authority) tu na si vinginevyo... Ni wachache sana wanaweza kupelekea MDA...

Wale wasiopenda Halmashauri kwa kweli hapo hamna namna watu wanadropiwa huko Mawilayani
 
Ndugu zangu tunaokosa tusife Moyo huenda zamu yetu haijafika bali tufunguo mioyo yetu kufurahia mafanikio ya wenzetu maana Mungu ndio anajua mahitaji yetu
 
Huenda ni kweli tuna imani kuwa tumefanya vizuri interview zetu lkn tuwe na subira na moyo wa kukubali matokeo.Maisha hayawezi kuwa sawa siku zote.
Naomba pia tuwe na kumbukumbu,pdf ndio zinasonga hivyo na idadi inapungua japo naona ni L bila M (DA's) hivyo tuwe na kumbukumbu tusije toa lawama kwa PSRS.
Tuendelee kuungana pamoja tu kuhusu ucheleweshwaji huu ila kila jambo liende kwa uharaka na uhalali.

Nb:tuendelee kupigia makofi washindi bila chuki hadi zamu yetu ya kushinda itakapofika(hata benzema alifanya hivi kwa Ronaldo)
Aah ni kweli tutajitahidi
 
Back
Top Bottom