HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
IMG_6116.jpg

Kumbe kuna watu mnajitolea TRA, BOT, TCRA, WCF, TPDC etc na hamsemi???
 
Dodoma. Serikali imeaanza mchakato wa kutafuta namna bora ya kutoa ajira kwa vijana ili kuondoa usumbufu na malalamiko yenye viashiria vya upendeleo, na hivyo kunufaisha vijana wanaojitolea kufanya kazi kada mbalimbali nchini.

Kauli hiyo imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Ridhiwan Kikwete ambaye amesema mchakato wa vikao hivyo atausimamia yeye baada ya kukasimishwa kwake na Waziri wa Utumishi na Utawala Bora ni George Simbachawene.

Alipokuwa akijibu hoja za wabunge kabla ya kupitishishwa bajeti ya wizara yake, Simbachawene alisema watalifanyia kazi ombi la wabunge kuhusu jinsi gani serikali itatoa ajira kwa vijana na hasa wale wanaojitolea bila kuwa na usumbufu.

Akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalum Ng’wasi Kamani bungeni, Kikwete amesema mchakato wa kupanga vigezo na sifa za ajira hizo vikao vyake vimeanza Mei 5.

Katika swali la nyongeza Mbunge huyo ametaka kujua ni kwa nini kusiwe na kigezo cha kuwapa upendeleo vijana wanaojitolea badala ya kuwaingiza kwenye kundi la moja kwa moja kwa waombaji.

Katika swali la msingi Mbunge huyo ameuliza iwapo Serikali haioni umuhimu wa kutoa kipaumbele cha ajira kwa vijana wanaojitolea kutumikia Taifa katika kada mbalimbali za utumishi pindi nafasi za ajira zinapotolewa.

Hata hivyo Naibu Waziri huyo amesema kwa mujibu wa kifungu cha 2.1.2 cha Sera ya menejimenti na ajira kwa utumishi wa umma, ajira kwa nafasi zilizowazi katika utumishi hujazwa kwa ushindani na uwazi kwa kufanya usaili na kupata washindi katika nafasi husika,
Uzi naona unafika mbali, malalamiko yetu yanasikika, tutegemee mema soon, ngoja tuone matokeo ya vikao vyao,
 
"Katika swali la msingi Mbunge huyo ameuliza iwapo Serikali haioni umuhimu wa kutoa kipaumbele cha ajira kwa vijana wanaojitolea kutumikia Taifa katika kada mbalimbali za utumishi pindi nafasi za ajira zinapotolewa."

Wakiuchukua huu ushauri, upendeleo utaongezeka. kwa maana nafasi za kupata kujitolea tu ni mpaka uwe na mtu unafahamiana nae. nafasi hizo zitajazwa na watoto wa wakubwa tu. na utakuwa uchochoro wa kuingiza watu wao.
 
N/W akamatie hapo hapo......
bila hivy data base 1700+ itakuja na sura hata interview PSRS hawajawai fanya ndo lengo wanalotaka hao wameshaona Mama ameruhusu kutoa kibali hicho.....
Watu tushamaliza mwaka nw giza nene...
Mungu asimamie hili jambo
 
Dodoma. Serikali imeaanza mchakato wa kutafuta namna bora ya kutoa ajira kwa vijana ili kuondoa usumbufu na malalamiko yenye viashiria vya upendeleo, na hivyo kunufaisha vijana wanaojitolea kufanya kazi kada mbalimbali nchini.

Kauli hiyo imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Ridhiwan Kikwete ambaye amesema mchakato wa vikao hivyo atausimamia yeye baada ya kukasimishwa kwake na Waziri wa Utumishi na Utawala Bora ni George Simbachawene.

Alipokuwa akijibu hoja za wabunge kabla ya kupitishishwa bajeti ya wizara yake, Simbachawene alisema watalifanyia kazi ombi la wabunge kuhusu jinsi gani serikali itatoa ajira kwa vijana na hasa wale wanaojitolea bila kuwa na usumbufu.

Akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalum Ng’wasi Kamani bungeni, Kikwete amesema mchakato wa kupanga vigezo na sifa za ajira hizo vikao vyake vimeanza Mei 5.

Katika swali la nyongeza Mbunge huyo ametaka kujua ni kwa nini kusiwe na kigezo cha kuwapa upendeleo vijana wanaojitolea badala ya kuwaingiza kwenye kundi la moja kwa moja kwa waombaji.

Katika swali la msingi Mbunge huyo ameuliza iwapo Serikali haioni umuhimu wa kutoa kipaumbele cha ajira kwa vijana wanaojitolea kutumikia Taifa katika kada mbalimbali za utumishi pindi nafasi za ajira zinapotolewa.

Hata hivyo Naibu Waziri huyo amesema kwa mujibu wa kifungu cha 2.1.2 cha Sera ya menejimenti na ajira kwa utumishi wa umma, ajira kwa nafasi zilizowazi katika utumishi hujazwa kwa ushindani na uwazi kwa kufanya usaili na kupata washindi katika nafasi husika,
Uzi naona unafika mbali, malalamiko yetu yanasikika, tutegemee mema soon, ngoja tuone matokeo ya vikao vyao,
mm sijamuelewa atawapa nafasi wanaojitolea bila kufanya interview nakufaulu au ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya kujitolea haya sio kabisa, unajitolea muda wote na hujui utaajiriwa lini.

Na mbaya zaidi wa kujitolea wanapokuwa wengi serikali ni kama inaona haina upungufu wa watumishi hivyo kuajiri inakuwa ngumu.

Huu ni utumwa mbaya sana kwa sisi graduates jamaa wanatutengenezea.
 
Tutumaini kuwa ijumaa haitapita bila pdf kutoka. Mungu aendelee kuwapa moyo mkuu wa matumaini ili kuwa na nguvu ya kusuburi. Cha msingi je wakati unasubiri unajishughulisha na nini? Lazima kila mmoja awaze cha kufanya ili kujiingizia kipato chochote hata kama ni kidogo. Pia kujijengea tabia ya kuweka akiba hata kama ni 500/= kwa siku. Fahamu kuwa kujiwekea akiba haimaanishi una kipato kikubwa, bali ni tabia uliyojijengea na utaratibu uliojiwekea. Bila kujijengea tabia ya kujiwekea akiba na bila kujiwekea utaratibu wa kujiwekea akiba, hautakaa uweze kuweka akiba hata kama ukija kufanikiwa kupata kipato kikubwa. Na ukweli ni kwamba tabia ya kujiwekea akiba hujengwa kabla mtu hajaweza kuwa na kipato kikubwa.

Ukifanikiwa kujijengea tabia ya kujiwekea akiba hasa wakati unapitia kipindi kigumu, utakuwa umejiwekea msingi wa mafanikio makubwa sana maishani mwako. Tabia hii lazima itakulipa mbele ya safari. Usidanganyike, akiba ni muhimu sana!!
aysee umeniongezea maarifa makubwa
shukran.
 
Nikwel Ila amejibiwa vizuri Sheria ya utumishi ni lazima nafasi zitangazwe, kwa ili sidhan kama linanguvu sana
"Katika swali la msingi Mbunge huyo ameuliza iwapo Serikali haioni umuhimu wa kutoa kipaumbele cha ajira kwa vijana wanaojitolea kutumikia Taifa katika kada mbalimbali za utumishi pindi nafasi za ajira zinapotolewa."

Wakiuchukua huu ushauri, upendeleo utaongezeka. kwa maana nafasi za kupata kujitolea tu ni mpaka uwe na mtu unafahamiana nae. nafasi hizo zitajazwa na watoto wa wakubwa tu. na utakuwa uchochoro wa kuingiza watu wao.
 
Wakisema wawape priority wanaojitolea sio sawa most wanaojitolea ni connection mi kuna sehemu nimewahi kujitolea nikiingia kwa mgongo wa mamdogo na wote waliokua wanajitolea walikua ndugu ndugu wa watumishi mule ofisini ambae hana ndugu mle mkataba ilikua mwisho miezi 3.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Dodoma. Serikali imeaanza mchakato wa kutafuta namna bora ya kutoa ajira kwa vijana ili kuondoa usumbufu na malalamiko yenye viashiria vya upendeleo, na hivyo kunufaisha vijana wanaojitolea kufanya kazi kada mbalimbali nchini.

Kauli hiyo imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Ridhiwan Kikwete ambaye amesema mchakato wa vikao hivyo atausimamia yeye baada ya kukasimishwa kwake na Waziri wa Utumishi na Utawala Bora ni George Simbachawene.

Alipokuwa akijibu hoja za wabunge kabla ya kupitishishwa bajeti ya wizara yake, Simbachawene alisema watalifanyia kazi ombi la wabunge kuhusu jinsi gani serikali itatoa ajira kwa vijana na hasa wale wanaojitolea bila kuwa na usumbufu.

Akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalum Ng’wasi Kamani bungeni, Kikwete amesema mchakato wa kupanga vigezo na sifa za ajira hizo vikao vyake vimeanza Mei 5.

Katika swali la nyongeza Mbunge huyo ametaka kujua ni kwa nini kusiwe na kigezo cha kuwapa upendeleo vijana wanaojitolea badala ya kuwaingiza kwenye kundi la moja kwa moja kwa waombaji.

Katika swali la msingi Mbunge huyo ameuliza iwapo Serikali haioni umuhimu wa kutoa kipaumbele cha ajira kwa vijana wanaojitolea kutumikia Taifa katika kada mbalimbali za utumishi pindi nafasi za ajira zinapotolewa.

Hata hivyo Naibu Waziri huyo amesema kwa mujibu wa kifungu cha 2.1.2 cha Sera ya menejimenti na ajira kwa utumishi wa umma, ajira kwa nafasi zilizowazi katika utumishi hujazwa kwa ushindani na uwazi kwa kufanya usaili na kupata washindi katika nafasi husika,
Uzi naona unafika mbali, malalamiko yetu yanasikika, tutegemee mema soon, ngoja tuone matokeo ya vikao vyao,
yaani vikao vimeanza leo, angeulizwa kesho angesema tarehe 6
sawa bhana
 
Haya mambo ya kujitolea haya sio kabisa, unajitolea muda wote na hujui utaajiriwa lini.

Na mbaya zaidi wa kujitolea wanapokuwa wengi serikali ni kama inaona haina upungufu wa watumishi hivyo kuajiri inakuwa ngumu.

Huu ni utumwa mbaya sana kwa sisi graduates jamaa wanatutengenezea.
Na je Vipi kwa waliojitolea kipind cha nyuma uko mpaka wakaacha wakaendelea na mambo Yao, na ili ni tatizo kubwa sana jingine litajitokeza watawapenyeza wanaowafahamu kwa kigezo cha kujitolea,
 
Huu utaratibu wa kujitolea kwanza haufai hata kidogo. !. Nafasi ya kujitolea itapatikana kwa upendeleo na kwa rushwa. 2. Watajitolea watu wengi sana kuliko kiasi cha nafasi zitakazopatikana. Kwa hiyo kuna ambaye atajitolea maisha yake yote!
 
"Katika swali la msingi Mbunge huyo ameuliza iwapo Serikali haioni umuhimu wa kutoa kipaumbele cha ajira kwa vijana wanaojitolea kutumikia Taifa katika kada mbalimbali za utumishi pindi nafasi za ajira zinapotolewa."

Wakiuchukua huu ushauri, upendeleo utaongezeka. kwa maana nafasi za kupata kujitolea tu ni mpaka uwe na mtu unafahamiana nae. nafasi hizo zitajazwa na watoto wa wakubwa tu. na utakuwa uchochoro wa kuingiza watu wao.
Mawazo ya Deep thinkers, mawazo ya wanaoona mbali.
Nakuunga mkono.
 
Back
Top Bottom