WanaJf,
Salam za Xmas!
Zaidi ya mara tatu nimetumiwa msg hii na watu: "Je, umewahi kuiona picha ya Mwl. Nyerere akiwa ndani ya sare ya CCM? Tafuta popote duniani, ukiipata, kuna 1,000,000. Kama hakuna jiulize kwa nini?
Sijafanya uchunguzi kujua ukweli wa Mwl. kuvaaa au kutokuvaa sare ya CCM...