Wasomi na watumishi wa umma wahudhuria mkutano wa CHADEMA

peopoooooooooz! Naona mwanga wenye matumaini. Mabadiliko ni lazima

[h=6]Inakubalika:

Kwa kuwa wafanyakazi wengi katia ofisi za serikali hatufahamu fursa hii, na hapo ndiyo tumeshindwa kuonyesha misimamo yetu kisiasa. Kuanzia leo, elewa hili: "SERIKALI ISIFANYE KITENDO CHOCHOTE CHA KUWAKANDAMIZA WAFANYAKAZI WAKE KWA SABABU ZA UANACHAMA WAO AU IMANI YAO KATIKA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA." Maadili ya Uchaguzi ya 2010, Sura ya 3, Maadili ya serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, (3.2) - Yasiyotakiwa kufanywa na serikali (article b).
[/h]
 
serikali haina uwezo wA kunipangia maisha yAngu....... bullshit
 
Back
Top Bottom