hebu tueleze tatizo liko wapi?
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamekuwa wakipuuzwa mno.Hawathaminiwi.Hawasikilizwi.Mifano ipo mingi.Rejea mjadala wa Richmond,Jairo,Ekerege,Kiwira,Ushahidi wa Lema,na juzi tu Mawaziri wezi wa nchi hii.Wabunge hawana la maana katika ujenzi wa Taifa hili? Kwanini wanapuuzwa?
Kama kila njia inashindikana,Wabunge wawe wa kwanza kujiuzulu...

Hata wa upinzani hupuuzwa pia..Mkuu wabunge wenyewe hasa magamba ndo wanapendwa kupuuzwa na kufanywa kama watoto. Tumeona mara ngapi huwa wanaitwa na kuonywa kwenye vikao vyao vya vyama kama walikuwa wanaibana serikali yao bungeni?
So, forget about that thing broda.
Kwa taarifafa yako kuanzia Rais mpaka wabunge wengi wa CCM hawakuingia madarakani kihalali hivyo wao wako pale kwa fedha zao ama kwa kutumia dola, sasa wewe unataka watetee wananchi kwa mpango upi. Umeumia, waambie na wenzako aidha tufanye mapinduzi sasa ama mkae mtulie mpaka mwaka 2015.
Comrade ukiingiliwa na Nyoka ndani ya Nyumba kumkimbia sio Suruhisho dawa ni Kupambana nae humohumo ndani ili kufanikisha kumuua wabunge wapambane mulemule ndani sisi waamuzi huku nje tunaona na tutajua nani ni mshindi kwa hili la Bunge la Saba wananchi wote tumeona na tumesikia,
Kwa taarifafa yako kuanzia Rais mpaka wabunge wengi wa CCM hawakuingia madarakani kihalali hivyo wao wako pale kwa fedha zao ama kwa kutumia dola, sasa wewe unataka watetee wananchi kwa mpango upi. Umeumia, waambie na wenzako aidha tufanye mapinduzi sasa ama mkae mtulie mpaka mwaka 2015.
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamekuwa wakipuuzwa mno.Hawathaminiwi.Hawasikilizwi.
Mifano ipo mingi...
Rejea mjadala wa Richmond, Jairo, Ekerege, Kiwira, Ushahidi wa Lema, na juzi tu Mawaziri wezi wa nchi hii.
Wabunge hawana la maana katika ujenzi wa Taifa hili? Kwanini wanapuuzwa?
Kama kila njia inashindikana,Wabunge wawe wa kwanza kujiuzulu...
kila jambo na wakati wake, tujipange tatizo cyo mawaziri