Zitto; jipange bado nafasi ipo.

Zitto; jipange bado nafasi ipo.

Mods, natumai hamtaunganisha uzi huu ni mingine ili tuweze kupembua kwa nafasi mapungufu/udhaifu na uwezo wake dhidi ya ambitions za wanasiasa wetu.
 
Hivi hizi story za hawa wasaliti, wanafiki na wazandiki haziiishi tu jamani? nakereka hadi basi, haya leteni tutasoma na kukomenti mwaya

Hata mimi zinanikera Elli, lakini hujamsoma Tuntemeke (ile Taasisi ya Wasaliti) anavyoendelea kujaza sumu humu? Ni kama wanatulazimisha kufyatua risasi za moto kujibu moto wao. Samahani lakini ndio hali halisi kwa muda huu
 
10. Kama atapitishwa tena kugombea ubunge katika jimbo lake ahakikishe madiwani wengi wa CHADEMA wanashinda katika kata zao, na kura za urais zinakuwa CHADEMA iongoze katika jimbo lake na si kama sasa.
 
Hoja yako imesimama mkuu hatutakiwi kuwa na ubongo kama majahazi yanayosubiri upepo ndo yajue mwelekeo. Tufikirie jamani mwanamke asikugombanishe na wazazi
 
Back
Top Bottom