Recent content by pentoxide

  1. pentoxide

    Habari Wakuu. Naomba kujua namna Ya kupata kazi katika mashirika Ya kimataifa.

    Habari wana Jamii.. Nilikua na omba kujua namna ya kupata connection ya kazi/ajira Kwenye Mashirika ya kimataifa kama vile UN,Unicef na kadhalika .. Nina Degree ya Account na CPA. Shukran..
  2. pentoxide

    Uraibu wa punyeto/kujichua kwa zaidi ya miaka kumi suluhisho lake nini na uchukua muda gani tiba

    Nenda Pale msikiti WA Qibla Tain kariakoo mtaa WA agrey,au mtaa msikiti WA ngazija posta siku ya Ijumaa.. kuna watu wana hizi Tiba dawa zake cheap
  3. pentoxide

    Nahitaji beli za mtumba Grade 1

    Mkuu na me naomba kupata njia sahihi ya kujua mabeli mazuri
  4. pentoxide

    Nahitaji beli za mtumba Grade 1

    Mkuu na me naomba kupata njia sahihi ya kujua mabeli mazuri ya mtumba
  5. pentoxide

    La Ultima Letra - (Tahadhari: Picha zilizomo zinaogofya)

    Mkuu nimepitia hizi story ni kali mnoo.. Natafta nyingine zaid.. Kapata kati Uzi upii kaka ??
  6. pentoxide

    Matumizi ya kokwa za embe kubana uke

    Dada zangu,fanyeni mtakavofanya lakin sio kuweka kitu extra huko chini.. Mtapata madhara makubwa na hamtafurahia tendo LA ndoa wala maisha..! Fanya mazoez ya kuubana tu Mara kwa Mara,misuli itakaza.. Mkiua bacteria hao kwa maembe basi mtaoza hali ya kua mko hai..
  7. pentoxide

    Makonda aenda likizo Afrika Kusini kwa zaidi ya miezi miwili

    Haha..! Serikalini hakunaga likizo za miez 2 ..
  8. pentoxide

    Kwa wale wadau wa Hiphop, Imam Abass yuko wapi?

    Huyu jamaa Alisitisha mziki,akabaki anafanya ibada tu na mambo ya kimaisha.. Kwao block 41 kino
  9. pentoxide

    Huu ndio ubabaishaji serikali imemfanyia Dangote alifikia hadi kutengeneza reli lakini imeshindikana

    Mambo ya viongozi kutaka kila MTU ajionyeshe anafanya kazi.. Itatukost sana hii *****
  10. pentoxide

    Waziri wa Habari, fungia Al-Jazeera kwa uchochezi

    Mweka post unajua mpk all jazeera wanatangaza Tayari washafanya utafiti.. Kituo kikubwa cha habari hiko.. Na kuhusu uhaba wa dawa sisi sote tunajua kasoro we we tu.. Jitahid basi kua mfatiliaji wa mambo ya nchi yako na sio ukuda tu wa kisiasa na chama
  11. pentoxide

    Kuna 'Sober House' za punyeto?

    Lakin nyeto tamu kuliko dem
  12. pentoxide

    Vyeti feki TPA: Wafanyakazi 600 kuachishwa kazi

    Hakuna uhakika wa kua idadi ya watu watakao timuliwa ni sasa na nafasi za ajira zitakazo tangazwa.. Tuombe Mungu serikali ya kihuni hii
Back
Top Bottom