mbona jamaa juu anasema ni mtoto wa IlalaHuyu jamaa Alisitisha mziki,akabaki anafanya ibada tu na mambo ya kimaisha.. Kwao block 41 kino
mbona jamaa juu anasema ni mtoto wa Ilala
Na kuna taarifa baadhi ya wasanii wa Hip hop kipindi hicho..waliandikiwa mistari na jamaa......Kiongozi wa mitaa ya kati,,,alikuwa mwandishi mzuri sana wa tungo
Imamu Abbas
naukumbuka sana huu msitari.... maana ilikuwa shida!Bila Sanaa, ningekua mkabaji mitaa ya kati...
Mwanamuziki Fanani nae yupo wapi?
ic enzi hizo nyimbo zilikua nyingi sana zenye mizuka kama muziki ya Darasa ila watu wamesahau
Hao akina songa, niki mbishi ,one the incredible ,zaid wataendelea kuwepo kama USA kuna akina Slaughter House ambao wamechagua kua underground hardcore mcs na kuna hiphop biashara kama ya akina Jiga Kanye Rickross so darassa ni Hiphop mc ila kwa sasa biashara hata kama wewe umeamua kukataaMziki sio hip hop ya Darasa come on hip hop wanafanya Tamaduni wakina Nash Mc One na Stereo na Pide Mc
Hao akina songa, niki mbishi ,one the incredible ,zaid wataendelea kuwepo kama USA kuna akina Slaughter House ambao wamechagua kua underground hardcore mcs na kuna hiphop biashara kama ya akina Jiga Kanye Rickross so darassa ni Hiphop mc ila kwa sasa biashara hata kama wewe umeamua kukataa
Mwambie trap sio hip hopKwa sisi tunaojua hip hop tunasema huyo ni rapa kama shetta na Mh temba
Angekuwa mkabajiulivyosema imam abas nikakumbuka "bila sanaa"