Nahitaji beli za mtumba Grade 1

Rose Of Africa

JF-Expert Member
Apr 27, 2020
228
92
Habari wana JF

Naomba kujuzwa ni wapi na maeneo gani naweza kupata mabeli safi grade 1 ya mtumba.

Natanguliza shukrani.
 
Inbox kufanya nini? uzi unafuatiliwa na wengi,wengine hawachangii na wengine sio member kabisa,weka maarifa hapa kwa manufaa ya wote.
Swali lake kama sikumuelewa vizuri ndio maana nikashindwa kumjibu ila ngoja nimjibu kwa kadri ya uwezo wangu.
Kwa mimi sidhani kama kuna njia ya kuliangalia balo kwa nje na kujua nguo zilizopo ndani kama ni nzuri au mbaya.
Kwa hiyo njia ya kufanya hapo ni kumuelekeza supplier masharti yako kwamba unahitaji balo lenye suruali au unahitaji balo la mashati,au unahitaji balo la sidiria wao ndio watakuonesha mabalo yenye aina za nguo uzitakazo japo muda mwingine wanaweza kukufanyia uhuni ukanunua balo la suruali kumbe ndani kuna blauzi tupu so ni kama bahati nasibu.
 
Niliwahi nunua beli la Shifon nilichokakutananacho! Mungu mwenyewe ndo alijua kwakweli! Lilikuwa bovu hatari ila jana nimeongea na muuzi mitambo mmoja akanioa ukweli kuwa wanaumuaga na kuchagua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom