Recent content by Pentiumdualcore

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Katika swala hili waislamu wako nyuma sana kimaarifa kuhusu upande wa ukristoni! Ila huwaambii kitu wakakubali wako wrong inshort ni vilaza.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia soda ya coke mnaona ipo sawa?

    basi kumbe si coke tu maana kuna hii juice ya mango iko manufactured na t same company unakunywa kwa kujiuliza ivi humu kuna embe au nini yaan haieleweki mdomon
  3. P

    JamiiForums Tanzania Benki zina kinga gani dhidi ya uchawi?

    naomba nimkaribishe ndugu mshana jr kwa ufafanuzi zaidi
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9, nifanye biashara gani?

    Spiker,amplifier
  5. P

    JamiiForums Tanzania Jamani, ni kweli wazungu wanatuzidi akili?

    Wanatuzidi busara katika utendaji wa mambo! Waafrika bado hatujawa well oriented
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike endapo nyumba yako imeshika moto usiku mkiwa ndani

    Nyumba ziwe na handaki
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike endapo nyumba yako imeshika moto usiku mkiwa ndani

    wanatoboa kuta na kuzama ndani
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wale tuliowahi kuishiwa nauli katika mishemishe tukutane hapa tuelezee tulifanyaje tukapata nauli

    Juzi tu hapo kipindi cha covid 19 nimetoka mlowo,mbozi,songwe nakwenda hospital vwawa,mbozi,songwe nina kanauli tu buku kwenda nakurudi maana matibabu nilitegemea bima asa si nikasahau barakoa nafika hospitali huingii bila barakoa na mfukoni nina jero(mia tano) ya kurudia home! Barakoa yenyewe...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

    kwamba hutak migadenlove? Mi ninayo ila pesa ndo kitu ambacho D
  10. P

    JamiiForums Tanzania Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

    nimekidhi vigezo dada tubonge zaidi pm
  11. P

    JamiiForums Tanzania Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

    una kesi ya mauaji ya kimbari
  12. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa siku nina access na internet almost masaa 4, nisaidie jinsi ya kutumia internet kuingiza kipato

    Kuwa freelancer,tafta online typing jobs, jiunge pay to read emails web
Back
Top Bottom